Na Prince Andrew pia. Ile skendali yake na yule mzee Mwenzake ilimfanya ajiondoe public duties hivyo naye alikuwa asivae uniform. Ila huyu HRH The Majesty ni akili kubwa sana.Wanaume wote wa Royal Family ni maofisa wa jeshi na walitakiwa leo wote wavae sare za jeshi kumuaga Prince Philip. Lakini kwakua Harry amevuliwa vyeo vyake vya kijeshi, Malkia amesema wote wavae suit wasiwe tofauti na Harry. Malkia ametumia busara kubwa.
Ni kama ertugruhiyo ndio uongozi sio huku kwetu mtu ni amiri jeshi mkuu ila hajui chochote. uongozi wa kifalme kuna wakati mfalme anaongoza vita mbele kabisa na anavipiga hatari
Hayo mengine siyajui ila issues za kifalme zimepitwa na wakatiHivi Magufuli angekua Mfalme wetu, saaa hivi yule mwanae Joseph andiye angekua mtawala.
Haiwezi kua tradition ,funguka nn kilipelekea kuwepo kwahali hiyo(tradition)ni tradition hiyo, ipo kwa maelfu ya miaka, prince lazima awe mjeda na atake active role ikitokea vita
lakini pia hata malkia alikuwa fundi makenika wa jeshi wakati wa WW2
Mkuu, Ni tradition ya wazungu wote ambao walikuwa na utawala wa ki falmeHaiwezi kua tradition ,funguka nn kilipelekea kuwepo kwahali hiyo(tradition)
Sanaa, ila watakuja wakuambie Africa hakuna democracy.Hayo mengine siyajui ila issues za kifalme zimepitwa na wakati
Naona kabisa siku moja watu watagoma kuongozwa na ukoo mmoja, ni upumbavu familia moja kujimilikisha nchi.Hayo mengine siyajui ila issues za kifalme zimepitwa na wakati
Vijana wengi hawataki huo ujinga pale UK......Ingekuwa Africa kelele zingekuwa kibao......sijui demokrasia imefanyajeNaona kabisa siku moja watu watagoma kuongozwa na ukoo mmoja, ni upumbavu familia moja kujimilikisha nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti watu wanarithishana uongozi tu kizembe zembe, mtu inatakiwa upambane ili uongoze watu ukitoka aje mwengine au wananchi wakutake uongoze mpk ufe zen aje mwengine na sio aje mwanao aongoze ni umama.Vijana wengi hawataki huo ujinga pale UK......Ingekuwa Africa kelele zingekuwa kibao......sijui demokrasia imefanyaje
....
Hakuna mawazo mapya yanayokuja kujenga nchi, yanabaki yaleyaleEti watu wanarithishana uongozi tu kizembe zembe, mtu inatakiwa upambane ili uongoze watu ukitoka aje mwengine au wananchi wakutake uongoze mpk ufe zen aje mwengine na sio aje mwanao aongoze ni umama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haka kajamaa kalianza kufaidi tunda Binti akiwa baado mbichi kabisa eti sisi tukifanyana na wa miaka kumi na tatu!! oooh! umebaka miaka30 jela mweee! jamani wazungu wanatuonea sana!!! utamu wale wao tu sisis akuuu!
Mbona anaonekana kama msichana, could it be princess Anne instead of prince Andrew?Huyu Prince Nderea alikua mkorofi eeh! Mbona yeye pekee kasimama chini na pozi tofauti
Kidemu kinaonekana kina peace of Mind! kwa sura tu! haka hata alikuwa akikaambia ingia jikoni kana kwenda tu! siyo kama Camilla korofi lile lidada wee!! charles anakoma yaani!
Usilolijua Harry alipanga maisha yake, kukutana wana Meghan haikua bahati mbaya, alijua itamtoa kwenye Ufalme. Aliuchukia Ufalme tangu kifo cha mama yake.Kidemu kinaonekana kina peace of Mind! kwa sura tu! haka hata alikuwa akikaambia ingia jikoni kana kwenda tu! siyo kama Camilla korofi lile lidada wee!! charles anakoma yaani!
Princesses Diana kalikuwa na kiburi baridi cha wazi kwa muonekano tu!! hata Matendo yake yalionyesha!! kaliamua tu kuchukuliwa na Doddy ili kuwa komesha!! kalijisemea moyoni hata wakiniua nita kuwa sha dhalilisha ufalme tu kwani nini bana!
Kamemrithisha Hurry hii jeuri huyu dogo! kaoa anakojua yeye kuwa ni sawa!! akamwaga Manyaga ya kubebwa bebwa km mfalme ni km kanajisemea moyoni'' wamemuua Mama namie sikai hapa! na wauaji .......naondoka tu km mama alivoondoka !! William ukibaki shauri zako lkn mie Mama ni kila kitu!''
Ni kwa Sababu kiasili nchi Zote unazoziona hapa Duniani zimetokana na vita .Vita ndo matokea ya Nchi kuwepo .mhimu pia nchi Zote zilikua zinaongozwa na Wafalme na Mfalme ili aweze kuwa na amani katka utawala wake ilikua mhimu kuwa na jeshi imara na pia Wafalme ndo walikua wanaongoza majeshi wakati wa vita wakiwa mstali wa mbele hivo ilikua ni lazima wawe wamepitia Jeshini.Hivi hua kuna siri gani hawa royals wote wa kiume kupitia jeshini? Ukiangalia watoto wao wote wa kiume pia ni wajeda au wamepitia jeshini