becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
Mbona hakuna picha za wale wa office works?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awabariki sana wanaume wote Dunian,Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu.
Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku.
Hakika tutakula kwa jasho.
View attachment 2987545
Mathayo 6:6-9
"Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba.
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako Litukuzwe
Ufalme wake uje
Mapenzi yako yatimizwe
UTUPE LEO MKATE WETU
utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyoawasamehe waliotukosea.
usitutie Majaribuni
Lakini utuokoe na yule mwovu
Kwa kiwa, ufalme ni wako.na nguvu na utukufu
Sasa hata Milele
Amina.
AminaMungu abariki kazi za mikono yenu
Weka mkuu, yore ni mapambano ya maisha ya kila siku mkuu.Mbona hakuna picha za wale wa office works?
Amen amenMungu abariki kazi za mikono yenu
Inaumizaga sana hii.watoto wakiwa wakubwa wataimba "Nani kama Mama"
aliingia bila gadi kidevu kimeingia masikionTuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu.
Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku.
Hakika tutakula kwa jasho.
View attachment 2987545
Mathayo 6:6-9
"Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba.
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako Litukuzwe
Ufalme wake uje
Mapenzi yako yatimizwe
UTUPE LEO MKATE WETU
utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyoawasamehe waliotukosea.
usitutie Majaribuni
Lakini utuokoe na yule mwovu
Kwa kiwa, ufalme ni wako.na nguvu na utukufu
Sasa hata Milele
Amina.
Yani wewe mwenyewe hapo ukiulizwa tu utajibu "hakuna kama mama" 😁Hahahahhaahhahaa ni wote tu
Ni mm mkuuHuyo kwenye DP ni wewe?😀😃😄😁😆