Picha za Mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku kwa wanaume.

Mungu awabariki sana wanaume wote Dunian,
Aisee sisi wanawake hatujapewa hata robo ya mioyo yenu,

Yaani mimi naanzaje kumpa mtu hela na hanidai ??

Mungu awajaalie riziki zenu za kilasiku,ili sisi tuweze kuishi.

YAANI SISI BILA NYIE HAIWEZEKANI DUNIANI
 
aliingia bila gadi kidevu kimeingia masikion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…