Ukiwapenda utawaongezea nini wewe mku ndugu yangu.Siwapendi polisi
Walipewa msamaha kuwa nao ni bindamuWale polisi waliokula rushwa kwenye ukamataji wa dhahabu Geita waliachiwa
Ona Sasa,eti huyu naye ni afande!! Aroo we afande kariko hebu riaresti hilo rijamaaUkiwapenda utawaongezea nini wewe mku ndugu yangu.
Kwanini MkuuSiwapendi polisi
Ebu waza tu kwa mfano!Aisee
1.DhulumatiKwanini Mkuu
Halafu Polisi wanawatangaza kibaguzi eti wamekamatwa ofisa mmoja na askari 4kama humfahamu ASP BWIRE wewe utakuwa sio mfatiliaji wa habari za mandata, mapongo, mapolisi n.k
Kuna ajali imetokea wamekufa watu kumi na mmasai mmoja...kkkkkkkHalafu Polisi wanawatangaza kibaguzi eti wamekamatwa ofisa mmoja na askari 4
Yaani yameomaa eti Afisa Mmoja na askari wanne, Ina maana huyo Afisa sio Askari?
Janja janja! Ila wangekuwa wengine picha kama zote na mabega wanawapigapigaHalafu Polisi wanawatangaza kibaguzi eti wamekamatwa ofisa mmoja na askari 4
Yaani yameomaa eti Afisa Mmoja na askari wanne, Ina maana huyo Afisa sio Askari?
Aisee unawagia Kunguni mkuu.....1.Dhulumati
2.Wala rushwa
3.Wavunjifu wa haki za binadamu Kwa makusudi
4. Wauaji
5. Wanajiona wako juu ya sheria
6. Wanyang'anyi
7. Makanjanja hawafanyi kazi zao Kwa weledi
8. Wanatumika vibaya na wanasiasa (kama mbwa na mmiliki wake)
Nakuja kuendelea.....