Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunishindi... japo mimi kuna chanzo!Siwapendi polisi
JE HAO POLISI WATANO WAMEKAMATWA NA NANI? WANANCHI, POLISI, JWTZ, ?Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
View attachment 2406480
KUNA WAKATI VIONGOZI WA VYAMA PINZANI, WALILALAMIKA SANA JUU YA HAWA, SISI WANACHI TULIKAA KIMYAA.1.Dhulumati
2.Wala rushwa
3.Wavunjifu wa haki za binadamu Kwa makusudi
4. Wauaji
5. Wanajiona wako juu ya sheria
6. Wanyang'anyi
7. Makanjanja hawafanyi kazi zao Kwa weledi
8. Wanatumika vibaya na wanasiasa (kama mbwa na mmiliki wake)
Nakuja kuendelea.....
Kote kote duniani polisi hajawahi kupendwaSiwapendi polisi
Akina maingu waliachiwa siku nyingiWale polisi waliokula rushwa kwenye ukamataji wa dhahabu Geita waliachiwa
Kumbe mamdata siyo mapolisi!kama humfahamu ASP BWIRE wewe utakuwa sio mfatiliaji wa habari za mandata, mapongo, mapolisi n.k
HahahKumbe mamdata siyo mapolisi!
Ni kina nani sasa hao watu?
Akina maingu waliachiwa siku nyingi
Hampendwi!! Mmejaa dhulma na uonezi! Kaa ukijua hiloUkiwapenda utawaongezea nini wewe mku ndugu yangu.
OvaNyie mngepata hilo dili mngeliacha
Hakuna asiyependa fweza
Ova
Yeah hasa waliopita shule lakini wale vishoia mikwara mbuzWapo polisi wenye utu ila ni wachache sana
WekaPicha ziko kwa Millard mkuu
HahahKuna ajali imetokea wamekufa watu kumi na mmasai mmoja...kkkkkkk
Inaelekea polisi hao wamechomwa na wenzao ,inaelekea dili walikuwa wanakula wenyewe [emoji1]Ingawa hawajawekwa pichani lakini kuna mmoja ana cheo kama ASP au ACP na jina lake limetajwa.
Nikiwa polisi sitafanya ubaya wowote.Kufanya dhambi ni kujitakia tu,unaweza kua dokta ila ukawala wagonjwa pasipo hiari yao hiyo ni dhambi.Hampendwi!! Mmejaa dhulma na uonezi! Kaa ukijua hilo
KabisaIngawa hawajawekwa pichani lakini kuna mmoja ana cheo kama ASP au ACP na jina lake limetajwa.