Picha za Polisi watano waliosafilisha wahamiaji haramu zimehifadhiwa! Lakini watu wengine wanaanikwa wazi

Nyie mngepata hilo dili mngeliacha

Hakuna asiyependa fweza

Ova
 
Double standard kwenye kuripoti matukio!

Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
View attachment 2406480
JE HAO POLISI WATANO WAMEKAMATWA NA NANI? WANANCHI, POLISI, JWTZ, ?
KAMA NI POLISI WENZAO BASI NA JAMBO JEMA.
 
KUNA WAKATI VIONGOZI WA VYAMA PINZANI, WALILALAMIKA SANA JUU YA HAWA, SISI WANACHI TULIKAA KIMYAA.
NA TULIONA NI MATATIZO YAO!
SASA HIVI NAO WAKO KIMYA NA FAMILIA ZAO... SISI ZAMU YETU KULALAMIKA NYUMA YA KEYBOARD.

UKIJA KUENDELEA, TUJULISHE NINI KIFANYIKE...
 
Hampendwi!! Mmejaa dhulma na uonezi! Kaa ukijua hilo
Nikiwa polisi sitafanya ubaya wowote.Kufanya dhambi ni kujitakia tu,unaweza kua dokta ila ukawala wagonjwa pasipo hiari yao hiyo ni dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…