Picha za Polisi watano waliosafilisha wahamiaji haramu zimehifadhiwa! Lakini watu wengine wanaanikwa wazi

Walioneshwa aisee!Yule ASP akawa anatabasamu kwa uchungu.Amalike!
 
Yure mupe... Yure muruke. .
 
Nani sijui kawachoma, wakati walikuwa wakifuata PGO yao ya kusaidia raia wanaosumbuka.
Walikuwa wanatoa huduma bora kwa wenye uhitaji.Heri yao wawasaidiao asylum seekers.Kwa maana dola elfu tano zitawahusu kwa kila kichwa.Fedha fedheha!Omba yasikukute.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hao police Ni hatari kwa usalama wa Nchi kwa kitendo walichofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…