Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana.
Your browser is not able to display this video.

So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM.

#NoReformsNoElection

Picha hapa chini ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini
 
Watu kama hao (Lijualikali) ndio waliojaa sana huko CCM wakati huu.
Ukitaka kulishuhudia hilo subiri ulaji wanao upata kupitia chama hicho ukatike. Hapo ndipo utakapoona maajabu!

Wote huko CCM wakati huu, toka juu kabisa hadi chini ni watu wa kusaka fursa tu binafsi.
 
Jana nilikuwa nauangalia mkutano huko You tube nilicheka sana pale Mwenyekiti alipomkumbatia yule Samaki mkubwa sana sijui kilo ngapi yule, huko Ziwa Nyanza wale wanaitwa "Shigami" sijui huko Rukwa wanaitwaje?
 
Duuuuuuuuu!! Kwa nyomi hiyo ya watu, nyota njema huonekana asubuhi!!
 
Duuuuuuuuu!! Kwa nyomi hiyo ya watu, nyota njema huonekana asubuhi!!
Kweli kabisa. Na hapo watu hawajabebwa na maroli ila wamejaa hivyo.Na hiyo ni kijijini kabisa.

Kweli Chadema ni Mpango wa Mungu na Mungu azidi kuwabariki.
 
Alikuwa anaeneza sera au futuhi la kuchekesha hao watu?

Hapo ndipo Chadomo Huwa mnapoteana hamnaga sera
 
Sema tu CCM bila ya polisi na tume ya uchaguzi, si chochote! Si lolote!
 
Shida ni tume tu jamani ila hii inchi chadema mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…