Picha za uharibifu wa shambulizi la Iran dhadi ya Israel zimeanza kuvuja

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel.
shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.

1728026894374.jpg
1728026978025.jpg
1728026982834.jpg
1728026966987.jpg
 
Mlio sema Iran karusha mafataki kisa haja uwa watu hovyo subirini Israel ajibu kwa kuuwa raia bila shaka mtapewa mnacho kitaka.
Hawezi kwenda gusa Iran hizo ni mbwembwe tu, Israel anajua wazi kugusa Iran ndio nwisho wao hapo.
 
Ila wazungu wanafki na waongo sana, wanaripoti habari mbaya za upande wa mpinzani tu, hata BBC siiamini tena, huwez kuona Israel iliripotiwa kupata hasara
 
Mlio sema Iran karusha mafataki kisa haja uwa watu hovyo subirini Israel ajibu kwa kuuwa raia bila shaka mtapewa mnacho kitaka.
Ukiua raia Ina maana ww huna keshi imara na bobezi kimsingi kuua raia wasio na hatia huo ni udhaifu kama unaweza piga Kambi za jeshi ndio maana tunasema Israel Hana LOLOTE maana Kazi yake ni kuua watu wasio na hatia badala ya kuua anaopambana nao na sio kuua wanawake na watoto
 
Maboom ya hovyo kabisa hayo

Ni utadhani ni risasi zimepigwa, vitobo viduuchu, angalia liliomuuwa Nasra
 
Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel.
shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.

View attachment 3115005View attachment 3115006View attachment 3115007View attachment 3115011
Picha zenyewe ndio hizohizo tu ama kuna za ziada ambazo ziko reliable na detailed zaidi?

Hizo duara ndogo nyekundu ndizo zinakupa imani ya kusema kwamba "base zimeharibiwa vibaya sana?"
 
Ila wazungu wanafki na waongo sana, wanaripoti habari mbaya za upande wa mpinzani tu, hata BBC siiamini tena, huwez kuona Israel iliripotiwa kupata hasara
Sasa wewe unataka waripoti hasara hata kama haipo?
 
Ayatula alisema kaziteketeza F35 zilizokuwa kwenye Base hiyo ziko wapi?
 
Ukiua raia Ina maana ww huna keshi imara na bobezi kimsingi kuua raia wasio na hatia huo ni udhaifu kama unaweza piga Kambi za jeshi ndio maana tunasema Israel Hana LOLOTE maana Kazi yake ni kuua watu wasio na hatia badala ya kuua anaopambana nao na sio kuua wanawake na watoto
ukiwafanya watoto wako kama ngao israel itakufundisha kuwapenda
 
Ila wazungu wanafki na waongo sana, wanaripoti habari mbaya za upande wa mpinzani tu, hata BBC siiamini tena, huwez kuona Israel iliripotiwa kupata hasara
Basi repoti wewe za kwako
 
Back
Top Bottom