Picha za uharibifu wa shambulizi la Iran dhadi ya Israel zimeanza kuvuja

Picha za uharibifu wa shambulizi la Iran dhadi ya Israel zimeanza kuvuja

The damages exist but not significant worth talking about because much of the missiles have been intercepted by the Israeli air defence systems.
 
Maboom ya hovyo kabisa hayo

Ni utadhani ni risasi zimepigwa, vitobo viduuchu, angalia liliomuuwa Nasra
Vilikuwa vinapasuka kama puto. Myahudi akiachia moja tu linapiga vilivyopo juu na na chini ya ardhi.
 
Ila wazungu wanafki na waongo sana, wanaripoti habari mbaya za upande wa mpinzani tu, hata BBC siiamini tena, huwez kuona Israel iliripotiwa kupata hasara
BBC ni mali ya United Kingdom, hao UK ndiyo walitawala Palestina, wao ndiyo walitoa koloni lao (Palestina na ikageuzwa jina kuwa Israel) kuwapa mayahudi waliosalia barani Ulaya baada ya mamilioni kati yao kuangamizwa na Adolf Hitler.

Wao ni chanzo cha tatizo kwenye eneo hilo, hivyo ni ngumu kwao kusimama kwenye mstari wa haki.

BBC kama ilivyo kwa vyombo vingine vya habari ni moja ya silaha za vita.
Ni ngumu BBC ishambulie maslahi ya taifa lake.
 
Back
Top Bottom