Angekua mzuri c angekua ashawekwa ndan kitambo na familia angekua nayo nzuri tu,
Ndio naamin msemo wa wahenga wetu kua uzuri sio sura wala shepu bali uzuri n tabia, kuna watu wana sura mbaya wameolewa na wana familia yenye maadili mazuri, so binafs siamn uzur wa nje naamn uzur wa ndan yaan tabia ya mtu.
Wema cmchukii ila sifa za watz zmemfikisha hapo alipo na uzee ndio unamwandama wenzie weng wa rika lake wana familia zao na heshma mbele ya jamii.
Sory km kuna ambaye ntamkwaza kwa namna moja au ingne