Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Sema shida ni akizitoa zote akabaki mtepe na ukashusha wazungu kidogo tu je ataonekana hivyo hivyo
 
She is too fat,sijaona mvuto wowote kutoka kwa huyu dada....
 



Hata anipe bure, a big fucking NOOOOOOO. Mwanamke ni muhimu kujisitiri si kumpa kila mtu hata msanii wa Bongo fleva anapiga?
 
Hiyo shepu!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja nipite kimya maana wafuasi wa huyu dada mmmmh
 
What u mean sio nature hiyo acha wivu wa kike wema ni mrembo au ww tim zali
 
WEMA KATA TUMBO, FANYA MAZOEZI SANA YA KUTOA MINYAMA,INAYOKUNYEMELEA KTK SIMU LA USONI.

NIMEONA KILA ANAYEKUJA HAPA NDANI ANAKUPA SIFABTU,LAKIN HAWAON MBALI YA MBELEE HUKO KUELEKEA 2020, MJENGON UKIWA FIT KWELIKWELI
 
WEMA KATA TUMBO, FANYA MAZOEZI SANA YA KUTOA MINYAMA,INAYOKUNYEMELEA KTK SIKU ZA USONI. NIMEONA KILA MTU ANAYEKUJA HAPA NDANI ANAKUPA SIFA TU,LAKIN HAWAON MBALI YA MBELEE HUKO KUELEKEA 2020, MJENGON UKIWA FIT KWELIKWELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…