Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Wachina wanachowafanyia dasa zetu hadi huruma[emoji30]...cha kushangaza hamna mchina mwenye jishepu kama hilo...sielewi kabisa
 
Ila bint kapotea jaman ulabu mwezi wao huu wa mfungo
I agree with u kwa Lema..

Ila juzi kati nilimuona kitaa anapiga ulabu (umemkolea anacheza mziki )
Hakuwa na tumbo kabisa....anyway labda ndo zake kufunga belt nisitetee sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wema atakuwa ni mtu wa maajab ana jibadilisha shape akitaka
Hakuna kinachoshindikana kwa mchina zaidi ya roho. Kama anatengeneza mchele wa plastick atashindwa shepu ya kuvaa na kuvua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna kinachoshindikana kwa mchina zaidi ya roho. Kama anatengeneza mchele wa plastick atashindwa shepu ya kuvaa na kuvua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hamna watu huwa wana badilika ukute miaka inavo enda anakuwa na shape jipya kama hvo
 
yes ni mzuri ila kutoka shepu ya kimiss hadi shepu la waimba taarabu!!!!that's demotion😀
 
Back
Top Bottom