Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Panda zimeibiwahahahaha halafu wakati wajumbe wanakupa pole kila mmoja aliyekula posho anasema alikupa kura sasa ndo utajiuliza kwa nn umepata kura mwenga
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, unanikumbusha uchaguzi wa 1995 ,kura za maoni Kawehahahaha halafu wakati wajumbe wanakupa pole kila mmoja aliyekula posho anasema alikupa kura sasa ndo utajiuliza kwa nn umepata kura mwenga
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, unanikumbusha uchaguzi wa 1995 ,kura za maoni Kawe
Walikua wagombea wengi ila maarufu ni Salum Londa na Adamjee
Wote walitoa hela kwa wajumbe lkn londa kura hazikutosha , asipite Nyumba hadi Nyumba za wajumbe kudai hela zake
Mzee alikomaa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
*Ingia kwenye SIASA ujue maana halisi ya maneno kama*chinja hao
*Ingia kwenye SIASA ujue maana halisi ya maneno kama*
"tupo pamoja"
"tupo nyuma yako"
"unakubalika sana"
"umeeleweka sana"
“Wewe ni Mheshimiwa tayari usisumbuke kuongea sanaaaa”
"sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi"
"wewe ni jembe" na mengineyo mengi[emoji849][emoji2][emoji3][emoji16]
“Ulikuwa unasuburiwa wewe tu mkuu, Mbona kazi imeisha hii tena asubuhi tu.”
Hapo ndio utajua wale jamaa waliobeba mizeituni kumshangilia YESU ndio siku tano baadae walosema aachwe Barnaba...
(strictly for a laughter[emoji38])
Livingstone Mkoi
+255713575718
Jr[emoji769]
Huyu hata bungeni yupo
[emoji23][emoji23][emoji23]kazigida zoteMjumbe akirudi nyumbaniView attachment 1516241
DuuuKiatu cha mjumbe wa chatoView attachment 1516465
[emoji23][emoji23][emoji23]Kijana ww shona suti za kutosha na subiri kuapishwa huku sifa zako zilisha tangulia kabla ww hata hauja fikaView attachment 1516467