Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

hahahaha halafu wakati wajumbe wanakupa pole kila mmoja aliyekula posho anasema alikupa kura sasa ndo utajiuliza kwa nn umepata kura mwenga

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, unanikumbusha uchaguzi wa 1995 ,kura za maoni Kawe

Walikua wagombea wengi ila maarufu ni Salum Londa na Adamjee

Wote walitoa hela kwa wajumbe lkn londa kura hazikutosha , asipite Nyumba hadi Nyumba za wajumbe kudai hela zake

Mzee alikomaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jr[emoji769]
 
chinja hao
*Ingia kwenye SIASA ujue maana halisi ya maneno kama*

"tupo pamoja"

"tupo nyuma yako"

"unakubalika sana"

"umeeleweka sana"

“Wewe ni Mheshimiwa tayari usisumbuke kuongea sanaaaa”

"sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi"

"wewe ni jembe" na mengineyo mengi[emoji849][emoji2][emoji3][emoji16]
“Ulikuwa unasuburiwa wewe tu mkuu, Mbona kazi imeisha hii tena asubuhi tu.”

Hapo ndio utajua wale jamaa waliobeba mizeituni kumshangilia YESU ndio siku tano baadae walosema aachwe Barnaba...
(strictly for a laughter[emoji38])

Livingstone Mkoi
+255713575718

Utamsikia Mjumbe anakwambia "unakubalika sana kiongozi "
😁😁
 
Sifa mojawapo ya kuwa mjumbe ni ujasiri wa kupokea kwa lazima na kutoa kwa hiyari,yaani ukileta lazima nipokee ila kutoa kura ni hiyari yangu
 
Nimeipenda hii sifa

Jr[emoji769]
 
Mjumbe akirudi nyumbani
IMG-20200725-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom