Picha za wakuu wa JWTZ tokea Tanzania ilipopata uhuru wake

MASIORA

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
660
Reaction score
271
Picha za wakuu wa jwtz tokea tanzania ilipopata uhuru wake






 

Attachments

  • SAM_3535.JPG
    36 KB · Views: 10,565
  • SAM_3534.JPG
    32.8 KB · Views: 10,323
  • SAM_3533.JPG
    32.8 KB · Views: 10,187
  • SAM_3532.JPG
    31.7 KB · Views: 10,067
  • SAM_3531.JPG
    34.1 KB · Views: 10,293
  • SAM_3530.JPG
    29.5 KB · Views: 10,100
  • SAM_3529.JPG
    43.2 KB · Views: 10,980
nawataka wale wa kabla ya uhuru!:A S-confused1:

JWTZ haikuwepo wakati huo...........

 
Kwa nini kati ya hao Gen. Msuguri alikuwa maarufu sana kuliko wenzie!?
 
Twalipo ndo alikuwa mkuu wa majeshi kipindi cha vita ya kagera na sio msuguri kama unavyodai

Na Gen. Twalipo alikuwa front kwenye uwanja wa mapambano na kushika machine gani. Ilikuwa ni jambo la kushangaza manake hakutaka kubaki nyuma kusubiria ripoti za makamanda wakisonga!
 
Kwa nini kati ya hao Gen. Msuguri alikuwa maarufu sana kuliko wenzie!?

Kipindi cha Vita vya Kagera Msuguri alikuwa na cheo cha Brigadier, alikuwa na akina Mayunga na Owden. Kwa ujuzi na uhodari wao katika medani za vita, walikuwa wako front line kukabiliana na Majeshi ya Nduli moja kwa moja. Walikuwa na majina ya kishujaa kama:- Mti Mkavu, Black Mamba nk. Mwesimiwa mno naye alikwenda front line lakini mizinga ilivyozidi, akatoka nduki na Rover la JW mpaka Bongo-Chezeya mizinga weye!
 
kuna mmoja kati ya hao alimuita commissioner mkuu wa TRA ikulu halafu akatumia ofici ya mheshimiwa sana. na alipofika jamaa akajidai hamjui huyo commissioner akaanza kumuuliza we ndo nani, mara kazi yako nini? basi nenda, kesho yake mzigo wa huyo mkuu wa majeshi ukaachiwa ulikua umezuiliwa kisa kodi. jamaa alikua kakunja ndita halafu raisi hakuwepo alikua amesafiri nje ya nchi. tena nadhani yule jamaa alipatwa na kiharusi (commissioner wa TRA)

Wawili kati ya hao walivimbishiana na mabosi wao (wakuu wa kaya) na baadhi ya migogoro ilimalizwa na mwalimu, mdo mwalimu akachomekea ile ya kusema hatutaki mtu analala na mke wake kesho yake anaongoza nchi kwa mawazo ya mke wake
 
Msuguguli wa Mbezi Shamba na Mboma wa Mbezi Beach...

Msuguri alikuwa na Sifa ya Watoto wengi.... tulikuwa tunaambiwa akisafiri lazima akodishe Ndege... na wanaweza wasitoshe hivi ni kweli? utotoni tulisikia mengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…