Picha za wakuu wa JWTZ tokea Tanzania ilipopata uhuru wake

Picha za wakuu wa JWTZ tokea Tanzania ilipopata uhuru wake

Picha za wakuu wa jwtz tokea tanzania ilipopata uhuru wake
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
Mkuu, edit uzi wako uongezee mkuu wa majeshi mpya....
 
Wakuu wa majeshi kwa picha
 

Attachments

  • 1.jpe
    1.jpe
    7.3 KB · Views: 73
  • 2.jpe
    2.jpe
    6.1 KB · Views: 112
  • 3.jpe
    3.jpe
    6.8 KB · Views: 96
  • 4.jpe
    4.jpe
    7 KB · Views: 97
  • 5.jpe
    5.jpe
    9.3 KB · Views: 107
  • 6.jpe
    6.jpe
    8.3 KB · Views: 80
  • 7.jpe
    7.jpe
    9.8 KB · Views: 120
  • 8.jpg
    8.jpg
    16.6 KB · Views: 66
Mkuu ni Gen George Mwita Waitara 2002-2007 picha yake ipo apo
Simaanishi Waitara namaanisha Mwita Marwa Generali pekee aliyewahi kutumikia vyeo vyote vya jeshi. Nadhani aliongozana na Generali Kyaro .Huyu Waitara namfahamu vizuri sana alikuwa jirani yangu pale Katoke road-Osterbay.
 
Simaanishi Waitara namaanisha Mwita Marwa Generali pekee aliyewahi kutumikia vyeo vyote vya jeshi. Nadhani aliongozana na Generali Kyaro .Huyu Waitara namfahamu vizuri sana alikuwa jirani yangu pale Katoke road-Osterbay.
Alikuwa CDF mwaka gani?
 
Wengine huwa wanshoji mbona hakunsa mkuu wa msjeshi aliyewahi kutokea kutoka Zanzibar?

Mzanzibari pekee aliyekuwa hodari wa vita na asiyeogopa vita na kiongozi mahiiri wa vita alikuwa kanali komandoo mpemba Mahafoudh yule alikukuwa mwanaume wa shoka jeshi lilikuwa kwenye damu na alipenda vita bila vita akikuwa anasikia kuumwa ndio maana alipigana vita kali hadu kuwa mshauri wa vita vya uhuru Msumbiji

Vita ya Kagera Askari wanamaji wengi walikuwa wazanzibari na kiongozi wa kikosi cha wanamaji mzanzibari brigadier na walipewa eneo la maji sabavu Nyerere aliamini kuwa sababu wao wanezungukwa na maji waweza kuwa ngangari vita za majini

Vita ya kagera wakakabidhiwa ziwa Victoria na mto Kagera waanze wao kwanza.Idd Amin alichowafanya ilikuwa aibu.Vikosi vya maji vikionhozwa na wazanzibari vikizanishwa na kuvurumshwa kama vifaranga vya kuku ikabifi wanaume wa jeshi la Ardhini toka Tanzania bara wakiongozwa na akina Musuguri, Walden nk wa take over kuvuka kuingia Uganda kwa kutumia Jeshi la Ardhini badala la majini lilioongozwa na wazanzibari

Baada ya vita kulifanyika mabadiliko jeshi la majini wako hadi waha,wakurya,wahaya nk
Toka vita ile wanajeshi wengi Wazanzibari vyeo vya juu vya kivita hawatamani kabisa wanaviogopa wanapenda tu vile vya maofisini kama utawala,uchumi nk sio vya medani za kivita ambako likiamka ukiwa brigadier lazima uongoze kikosi chako kupigana na wewe ukiwa msitari wa mbele sio nyuma
 
Back
Top Bottom