Picha za wakuu wa JWTZ tokea Tanzania ilipopata uhuru wake

Picha za wakuu wa JWTZ tokea Tanzania ilipopata uhuru wake

jaman jen mboma si ndo alikua kt bodi ya tanesco akafisadi mambo ya escrow au ni mboma yupi??
 
sarakikya alistaafu akiwa na miaka mingapi?maana ni yapata miaka 40.alistaafu na pension ya 50,000.mpaka hv karibuni namsikia akipanda mlima kilimanjaro.
 
Hapo General Mboma yupo tofauti na wenzake, General pekee kuwahi kuwa rubani wa ndege vita (jet fighter).

Pia General Kyaro anabaki kuea Genaral pekee aliyehoji utendaji mbovu wa serikali hadi kutaka kumpindua Rais aliyekuwa madarakani wakati huo ndugu Mwinyi.
 
Sarakikya - Arusha
Twalipo - Mtwara? sina uhakika
Musuguri - Mara
Kiaro - Mara
Mboma - Mbeya
Waitara - Mara
Mwamunyange - Mbeya

Next - ???

sipati picha siku Tanzania tukijapata mkuu wa majeshi (CFD ) "M.KWE.RE" ,
 
Last edited by a moderator:
Picha za wakuu wa jwtz tokea tanzania ilipopata uhuru wake
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

hapo makamanda halisi na waliokuwa na wito na majemedari wa kweli ni wa 2002-2007, 1988-1994 na 1980-1988.
 
sarakikya alistaafu akiwa na miaka mingapi?maana ni yapata miaka 40.alistaafu na pension ya 50,000.mpaka hv karibuni namsikia akipanda mlima kilimanjaro.

..kuna uwezekano mkubwa kwamba Sarakikya alikuwa kijana kuliko Twalipo, Musuguri, na Kyaro.

..ukumbuke kwamba Sarakikya aliingia jeshini akitokea shuleni, na baada ya hapo akapelekwa Sandhurst UK kwa mafunzo ya officer Cadet.

..Musuguri na Kyaro, sina uhakika na Twalipo, walianza kulitumikia jeshi kama non commissioned officers. Kuna madai kwamba Gen.Ernest Mwita Kyaro alitumikia vyeo vyote vya jeshi, isipokuwa Luteni Generali.

..Hata ukiangalia picha za Sarakikya akiwa mkuu wa majeshi utoana kabisa kuwa alikuwa in his 30s or early 40s.

NB:

..Gen.Sarakikya amepanda mlima Kilimanjaro mara nyingi sana.
 
Gen Sarakikya........kwenye picha mavazi yake hayaendani na cheo kilichoandikwa.kwa nini wasiweke uhalisia wake..nadhani akiwa CDF cheo chake kilikuwa Brg. na wakati huo jeshi letu lilikuwa dogo sana
 
Hapana, nimeambiwa ni Ruvuma. Ni Abdallah Twalipo

He is from Mbeya...one of the very few Moslems from there.
Ruvuma might be just settlement...kama ilivyo kwa ukoo wa brigedia Adam Mwakanjuki huko Zanzibar.
 
Kuna siri gani jwtz?mbona ndugu zetu wanaovaa kofia kijiti hawapewi?naona tangu jwtz imeanza ni twalipo tu kashika.
 
Kwa hiyo ni luteni general yupi kwa sasa anaenda kukabidhiwa kijiti? Mwamunyange nafikiri mwakani mapema nae anakabidhi kijiti.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ajae atajua nani wa kumteua wapo makamanda wakutosha
 
Back
Top Bottom