Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
na generali kiwelu alikuwa mnadhimu mkuu wa jeshi wakati wa vita na ndiye aliyeongoza vita ile!
kuongoza kikosi ndiyo kuongoza vita?....na Mayunga je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na generali kiwelu alikuwa mnadhimu mkuu wa jeshi wakati wa vita na ndiye aliyeongoza vita ile!
HR anaongozaje !?na generali kiwelu alikuwa mnadhimu mkuu wa jeshi wakati wa vita na ndiye aliyeongoza vita ile!
HR anaongozaje !?
Gen. Kiwelu ni mpambanaji mkuu, ulizia kipindi cha choko choko za Msumbiji na FRELIMO yao kipindi Gen. Kiwelu anaongoza batallion ya Mtwara!
Kuwa HR kipindi ya Vita ya nduli si kwamba alikuwa bench, unadhimu katika jeshi si kama ofisini ndugu! Lazima ahakikishe strategia,supply,intel na movement(logistics)iko kwenye high standard na morale ya wapambanaji pia!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Ally Kombo,
Kiwelu aliongoza operation ya kumuondoa Amin ktk ardhi ya Tanzania. Yeye ndiye alikuwa mpiganishaji mkuu.
Baada ya ushindi huo Musiguri akapewa jukumu la kuongoza majeshi yetu ktk mapigano ndani ya Uganda. Kiwelu alirejea ktk nafasi yake ya mnadhimu mkuu.
Pia Kiwelu ameweka historia ya kutumikia nafasi ya chief of staff mara mbili. Mara ya kwanza chini ya Lt.Gen. Abdalah Twalipo, na mara ya pili na Gen.Mwita Kiaro. Kwa maana hiyo aliaminiwa na Raisi Nyerere, pamoja na Raisi Mwinyi.
Vilevile Kiwelu ndiye Mtanzania pekee aliyetunukiwa ngazi ya Generali bila kushika nafasi ya Mkuu wa Majeshi/cdf.
Mwisho, Gen.Kiwelu alipata kuteuliwa na raisi Mkapa kuwa balozi wetu Ufaransa. Echolima
Picha za wakuu wa jwtz tokea tanzania ilipopata uhuru wake
.........cha kushangaza ni pale unapo mu under rate mkuu wa majeshi !..........hata mwamunyange na (brigadier gen mmoja hivi jina limenitoa- amekuwa waziri na mbunge Korogwe au Lushoto) wamepigana msumbiji
hapo nazifaham sura chachee
Sarakikya - Arusha
Twalipo - Mtwara? sina uhakika
Musuguri - Mara
Kiaro - Mara
Mboma - Mbeya
Waitara - Mara
Mwamunyange - Mbeya
Next - ???
kuna mmoja kati ya hao alimuita commissioner mkuu wa tra ikulu halafu akatumia ofici ya mheshimiwa sana. Na alipofika jamaa akajidai hamjui huyo commissioner akaanza kumuuliza we ndo nani, mara kazi yako nini? Basi nenda, kesho yake mzigo wa huyo mkuu wa majeshi ukaachiwa ulikua umezuiliwa kisa kodi. Jamaa alikua kakunja ndita halafu raisi hakuwepo alikua amesafiri nje ya nchi. Tena nadhani yule jamaa alipatwa na kiharusi (commissioner wa tra)
wawili kati ya hao walivimbishiana na mabosi wao (wakuu wa kaya) na baadhi ya migogoro ilimalizwa na mwalimu, mdo mwalimu akachomekea ile ya kusema hatutaki mtu analala na mke wake kesho yake anaongoza nchi kwa mawazo ya mke wake
hivi Mwamunyange alishawahi kupigana vita yoyote?
huwa nafurahishwa sana na hawa jamaa,wana aina fulani ya ubabe (wa akili) na confidence za kutukuka.hawa wawili wa mwisho.they are not really soldriers wana sura za kikarani.