Wengine huwa wanshoji mbona hakunsa mkuu wa msjeshi aliyewahi kutokea kutoka Zanzibar?
Mzanzibari pekee aliyekuwa hodari wa vita na asiyeogopa vita na kiongozi mahiiri wa vita alikuwa kanali komandoo mpemba Mahafoudh yule alikukuwa mwanaume wa shoka jeshi lilikuwa kwenye damu na alipenda vita bila vita akikuwa anasikia kuumwa ndio maana alipigana vita kali hadu kuwa mshauri wa vita vya uhuru Msumbiji
Vita ya Kagera Askari wanamaji wengi walikuwa wazanzibari na kiongozi wa kikosi cha wanamaji mzanzibari brigadier na walipewa eneo la maji sabavu Nyerere aliamini kuwa sababu wao wanezungukwa na maji waweza kuwa ngangari vita za majini
Vita ya kagera wakakabidhiwa ziwa Victoria na mto Kagera waanze wao kwanza.Idd Amin alichowafanya ilikuwa aibu.Vikosi vya maji vikionhozwa na wazanzibari vikizanishwa na kuvurumshwa kama vifaranga vya kuku ikabifi wanaume wa jeshi la Ardhini toka Tanzania bara wakiongozwa na akina Musuguri, Walden nk wa take over kuvuka kuingia Uganda kwa kutumia Jeshi la Ardhini badala la majini lilioongozwa na wazanzibari
Baada ya vita kulifanyika mabadiliko jeshi la majini wako hadi waha,wakurya,wahaya nk
Toka vita ile wanajeshi wengi Wazanzibari vyeo vya juu vya kivita hawatamani kabisa wanaviogopa wanapenda tu vile vya maofisini kama utawala,uchumi nk sio vya medani za kivita ambako likiamka ukiwa brigadier lazima uongoze kikosi chako kupigana na wewe ukiwa msitari wa mbele sio nyuma