Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
heartwarming-historic-photos-48-58737b72ef0eb__700.jpg
a88723268d2db8e569b84226bfe00bd5.jpg
FB_IMG_1754165301320.jpg
 
Hizo ni picha za zamani sana,
Na hao wote bila shaka watakua walisha kufa tayari,

Kinachokupa huzuni ni kwamba,unajua kua siku moja na wewe utakufa na hutakuwepo tena Duniani,kama walivyokufa hao wa kwenye hizo picha za Black and White.
 
Wewe ni MGONJWA WA AKILI 100% na Cha Kushangaza Picha zote ulizoweka ni za Wazungu, watu ambao hata hawajui, hampo damu moja, kama labda picha zingekuwa za ndugu zako wa karibu, kama BABA, MAMA, BIBI , DADA KAKA nakadhalika, ungeeleweka kidogo, wewe ni sawa na WALE ambao wakiona picha ya Mel Gibson aka YESU wanaanza KULIA / eti wanasikia UCHUNGU, Nenda KAZAE BASI KAMA UNAUCHUNGU.
 
Huo ni wakat ambao wazungu walikuwa kweny3 stone age.
I know, sasa wanakuhusu nini hao Wazungu? Mbona kuna hata picha nyingi mtandaoni za Waafrika wenzako ambazo ni black n white, kuweka picha za Wazungu na kusikia uchungu huo BADO NI UTUMWA WA KIFIKRA, .... Change that first ( your Mental Slavery)
 
I know, sasa wanakuhusu nini hao Wazungu? Mbona kuna hata picha nyingi mtandaoni za Waafrika wenzako ambazo ni black n white, kuweka picha za Wazungu na kusikia uchungu huo BADO NI UTUMWA WA KIFIKRA, .... Change that first ( your Mental Slavery)
Hiyo habar ya kuhisi uchungu umeitoa wapi kwenye comment yangu ?
 
Kwahiyo wewe unahuzunikia wazungu? View attachment 3438777
Hii picha ilipigwa huko Sudan wakati wa njaa mwaka 1993 na Kevin Carter,ambae alikua ni Photojournalist wa South Africa,hii picha mwaka 1994 ilishinda Pulitzer prize,Kevin Carter alijiua miezi minne baada ya kupata hiyo prize kutokana na msongo wa mawazo kwa alichokishudia kule Sudan,

Huyo Ndege alikua anamsubiri huyo mtoto afe ili amfanye chakula,mtoto alikufa na kisha akaliwa na huyo Ndege,ni picha ya kuhuzunisha sana,Carter alijiua akiwa na umri wa miaka 33 tu.
 
Wacha kumtia huzuni mleta uzi, unataka ajinyonge ndo furaha yako sio??
I DONT CARE, Namsaidia ili atoke kwenye hiyo ( Mental Slavery ) ili awe free kufikiri. picha za wazungu zinakutia huzuni wakati kuna pucha, za Mauaji ya Rwanda na Burundi, Ukame Ethiopia, uhaba wa vyakula Somalia , chad , Sudan, Vita vywla Congo yaani hata siwezi kuendelea, WEUSI WENZAKO FIRST, WAAFRIKA WENZAKO FIRST, ... Nyumba ya Jirani yako, mweusi mwenzako inaungua HUSIKII UCHUNGU, nyumba ya Mzungu Canada inaungua eti unasikia Uchungu, Sasa huu si ujinga na utumwa wa kufikiria ?? You have been programed to think that way, .. free your mind.
 
Back
Top Bottom