Hapana anapata huruma kwa kujua kuwa hao wote kwenye hizo picha hawawezi kuwa duniani mpaka sasa, walishakufa.Utakuwa mgonjwa wa akili bro? Labda useme unapata huzuni kwa sababu ya mazingira duni ya kwenye picha huruma inakuelemea
Thanks hili sikulifikiriaHapana anapata huruma kwa kujua kuwa hao wote kwenye hizo picha hawawezi kuwa duniani mpaka sasa, walishakufa.
Hata sisi hizi zilizopo sasa huenda zikawa historia huko mwaka 3000+Hapana anapata huruma kwa kujua kuwa hao wote kwenye hizo picha hawawezi kuwa duniani mpaka sasa, walishakufa.
Aliepiga hii picha alijiuaKwahiyo wewe unahuzunikia wazungu? View attachment 3438777
Hata sisi hizi zilizopo sasa huenda zikawa historia huko mwaka 3000+
Kweli kabisa huko mbali sanaMbali sana huko, mwaka 2115 tutakua tushasahaulika
Huo ni wakat ambao wazungu walikuwa kweny3 stone age.Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana. View attachment 3438772View attachment 3438774View attachment 3438775
Wacha kumtia huzuni mleta uzi, unataka ajinyonge ndo furaha yako sio??
I know, sasa wanakuhusu nini hao Wazungu? Mbona kuna hata picha nyingi mtandaoni za Waafrika wenzako ambazo ni black n white, kuweka picha za Wazungu na kusikia uchungu huo BADO NI UTUMWA WA KIFIKRA, .... Change that first ( your Mental Slavery)Huo ni wakat ambao wazungu walikuwa kweny3 stone age.
Hiyo habar ya kuhisi uchungu umeitoa wapi kwenye comment yangu ?I know, sasa wanakuhusu nini hao Wazungu? Mbona kuna hata picha nyingi mtandaoni za Waafrika wenzako ambazo ni black n white, kuweka picha za Wazungu na kusikia uchungu huo BADO NI UTUMWA WA KIFIKRA, .... Change that first ( your Mental Slavery)
Hapana anapata huruma kwa kujua kuwa hao wote kwenye hizo picha hawawezi kuwa duniani mpaka sasa, walishakufa.
Hii picha ilipigwa huko Sudan wakati wa njaa mwaka 1993 na Kevin Carter,ambae alikua ni Photojournalist wa South Africa,hii picha mwaka 1994 ilishinda Pulitzer prize,Kevin Carter alijiua miezi minne baada ya kupata hiyo prize kutokana na msongo wa mawazo kwa alichokishudia kule Sudan,Kwahiyo wewe unahuzunikia wazungu? View attachment 3438777
I DONT CARE, Namsaidia ili atoke kwenye hiyo ( Mental Slavery ) ili awe free kufikiri. picha za wazungu zinakutia huzuni wakati kuna pucha, za Mauaji ya Rwanda na Burundi, Ukame Ethiopia, uhaba wa vyakula Somalia , chad , Sudan, Vita vywla Congo yaani hata siwezi kuendelea, WEUSI WENZAKO FIRST, WAAFRIKA WENZAKO FIRST, ... Nyumba ya Jirani yako, mweusi mwenzako inaungua HUSIKII UCHUNGU, nyumba ya Mzungu Canada inaungua eti unasikia Uchungu, Sasa huu si ujinga na utumwa wa kufikiria ?? You have been programed to think that way, .. free your mind.Wacha kumtia huzuni mleta uzi, unataka ajinyonge ndo furaha yako sio??