babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Kiongozi wa kitaifa
Aiseee mbona kama katatizo kapo kwako zaidi ya mleta uzi.I DONT CARE, Namsaidia ili atoke kwenye hiyo ( Mental Slavery ) ili awe free kufikiri. picha za wazungu zinakutia huzuni wakati kuna pucha, za Mauaji ya Rwanda na Burundi, Ukame Ethiopia, uhaba wa vyakula Somalia , chad , Sudan, Vita vywla Congo yaani hata siwezi kuendelea, WEUSI WENZAKO FIRST, WAAFRIKA WENZAKO FIRST, ... Nyumba ya Jirani yako, mweusi mwenzako inaungua HUSIKII UCHUNGU, nyumba ya Mzungu Canada inaungua eti unasikia Uchungu, Sasa huu si ujinga na utumwa wa kufikiria ?? You have been programed to think that way, .. free your mind.
It doesn't Matter, Carter or Samson, they are all the same, wewe hujui kuwa jonalist wengi ambao, ( War correspondence jonalists ) huwa ni undercover agents? Wanapiga hizi picha na kuzipost ili kuendelea kukudumaza wewe ili ukae na huzuni wakati wao wanakula kuku, na wanaendele kuiangamiza Africa na nchi nyingine. Carter alikuwa Kaburu, damu ni ile ile, anaenda Sudan kupiga picha wakati Makaburu wanawauwa Waafrika kule Afrika Kusini wtf ? Hata Obama walimpta Nobel Prize, Mtu ambaye alikuwa ni Mshenzi kabisa, USED and Controled by Whites, Obama na Nobel Prize yake Huyo huyo ndiye aliye destroy Libya na mauaji ya Muamar Gadafi, .. Fungua macho wewe, Propaganda comes in many ways to inslave you na Mapumbu yako.Hii picha ilipigwa huko Sudan wakati wa njaa mwaka 1993 na Kevin Carter,ambae alikua ni Photojournalist wa South Africa,hii picha mwaka 1994 ilishinda Pulitzer prize,Kevin Carter alijiua miezi minne baada ya kupata hiyo prize kutokana na msongo wa mawazo kwa alichokishudia kule Sudan,
Huyo Ndege alikua anamsubiri huyo mtoto afe ili amfanye chakula,mtoto alikufa na kisha akaliwa na huyo Ndege,ni picha ya kuhuzunisha sana,Carter alijiua akiwa na umri wa miaka 33 tu.
Hivi wewe Binti una akili timamu kweli? unanitukana kwa kipi hasa?It doesn't Matter, Carter or Samson, they are all the same, wewe hujui kuwa jonalist wengi ambao, ( War correspondence jonalists ) huwa ni undercover agents? Wanapiga hizi picha na kuzipost ili kuendelea kukudumaza wewe ili ukae na huzuni wakati wao wanakula kuku, na wanaendele kuiangamiza Africa na nchi nyingine. Carter alikuwa Kaburu, damu ni ile ile, anaenda Sudan kupiga picha wakati Makaburu wanawauwa Waafrika kule Afrika Kusini wtf ? Hata Obama walimpta Nobel Prize, Mtu ambaye alikuwa ni Mshenzi kabisa, USED and Controled by Whites, Obama na Nobel Prize yake Huyo huyo ndiye aliye destroy Libya na mauaji ya Muamar Gadafi, .. Fungua macho wewe, Propaganda comes in many ways to inslave you na Mapumbu yako.
Hako kajamaa kanateswa na ubaguzi,ubaguzi haupo kwenye rangi bali ni fikra za mtu tu kutokana na akili zake,Aiseee mbona kama katatizo kapo kwako zaidi ya mleta uzi.
Mpaka unaquote reply zisizokuhusu na kuruka nazo jumlajumla.
Enewei mcTobby uko wapi ikiwezekana mzichape na kamaa hapa, akutoe anaouita ujinga huko kichwani, ana hasira na wewe sio poa
Hawa ni wale watu wakimwona mzungu maskini wanahuzunika lakini wakimwona mwafrika maskini wanamcheka.I DONT CARE, Namsaidia ili atoke kwenye hiyo ( Mental Slavery ) ili awe free kufikiri. picha za wazungu zinakutia huzuni wakati kuna pucha, za Mauaji ya Rwanda na Burundi, Ukame Ethiopia, uhaba wa vyakula Somalia , chad , Sudan, Vita vywla Congo yaani hata siwezi kuendelea, WEUSI WENZAKO FIRST, WAAFRIKA WENZAKO FIRST, ... Nyumba ya Jirani yako, mweusi mwenzako inaungua HUSIKII UCHUNGU, nyumba ya Mzungu Canada inaungua eti unasikia Uchungu, Sasa huu si ujinga na utumwa wa kufikiria ?? You have been programed to think that way, .. free your mind.
Aloo nimeshangaa kumchagulia jamaa watu wa kuwasikitikia.Hako kajamaa kanateswa na ubaguzi,ubaguzi haupo kwenye rangi bali ni fikra za mtu tu kutokana na akili zake,
Angalia huu uzi wake wa kibaguzi,
WASOMALI East Afrika
Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea, hata huko...www.jamiiforums.com
Yeah jamaa alikuwa mSouth Africa. Picha inaitwa The Little Girl and The VultureAliepiga hii picha alijiua
Shida nini mzee!?Ndio ugonjwa wenyewe huo
Hujachelewa wahi Dodoma haraka
Sababu mostly wamekufa so unasikia vibayaMara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana. View attachment 3438772View attachment 3438774View attachment 3438775
Ilipigwa nchi gani huko? Inaonyesha kulikuwa na janga baya mno la njaa kama Gaza kwa Sasa (Mungu awakumbuke).Yeah jamaa alikuwa mSouth Africa. Picha inaitwa The Little Girl and The Vulture
Mkuu soma comment yangu 19#Ilipigwa nchi gani huko? Inaonyesha kulikuwa na janga baya mno la njaa kama Gaza kwa Sasa (Mungu awakumbuke).
.Ina maana huyu ndege anasubiri mtoto afe Ili amle?
Absolutely, ukweli mtupuHawa ni wale watu wakimwona mzungu maskini wanahuzunika lakini wakimwona mwafrika maskini wanamcheka.
Huyu aliepiga hii picha alijiuwa kwa ajili ya hiyo picha.Kwahiyo wewe unahuzunikia wazungu? View attachment 3438777
SudanIlipigwa nchi gani huko? Inaonyesha kulikuwa na janga baya mno la njaa kama Gaza kwa Sasa (Mungu awakumbuke).
.Ina maana huyu ndege anasubiri mtoto afe Ili amle?