Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya 90 sio zamani ni juzi 😅😅Zamani miaka ya 90 waliopata division 4 ndo walienda ualimu. Yaani mtoto akikosa shule utasikia jaribu kumpeleka ualimu...
Mfumo huo umeharibu sana elimu yetu. Ifike mahali wenye ufaulu mzuri waende ualimu na hili halitawezekana kama mishahara ya walimu haitaboreshwa.
Ndio sio zamani, kwahiyo hata sasa inawezekana mtindo ndo ule ule.Miaka ya 90 sio zamani ni juzi 😅😅
Mbna kama cheti ni cha ndalichako meanw cha vijana wa 2000s hiki maana miaka ile ya Tisini na 80s sehemu ya matokeo ilitofautiana Rangi kidog na seemu zingine kuna tofauti ya fonts za miaka 90s na 80s mkuu 😅😅....(A joke but ni halisi cha 90s kulingana na fonts na muundo(designs))Acha dhana potofu na kuiongopea Jamii.
=
View attachment 2784226
=
View attachment 2784227
Matokeo yangu: "Miaka hiyo ya 90" kama ulivyosema
Mapinduzi ya kifikra plus katiba yenye nguvu kuadabisha!.Je nini kifanyike ili kuhakikisha kwamba mfumo wa kisiasa unakuwa sawa, tofauti na sasa?
Nakuunga mkono kwa 90%Ndio sio zamani, kwahiyo hata sasa inawezekana mtindo ndo ule ule.
Na wanaoenda ualimu wengi wao inakuwa ni option ya mwisho baada ya kukosa pengine.
Fikra Huru na uamuzi wa kimapinduzi utatuweka huru na tutafaidi mema ya Nchi yetu Lakini tofauti na hapo tutaumia na kuendelea kuwa watumwa wa wanasiasa
Yote kwa yote tutafute tu hela. Hakuna kiongozi wakuvaa viatu vya masikin wote hayupo hata Yesu alisema masikini wapo tu kila siku kipindi anamwagiza vitu vya gharama nyingi
Kukiondoa chama chawala madarakaniJe nini kifanyike ili kuhakikisha kwamba mfumo wa kisiasa unakuwa sawa, tofauti na sasa?
Huoni tatizo!!??Taiizo nini, naona picha mbili tofauti?
UJAMAATulipokosea sana ni pale tulipoipa siasa hadhi na heshima kubwa isiyostahili na kuipa taaluma kisogo...!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Taiizo = Tatizo📌Taiizo nini, naona picha mbili tofauti?
www.jamiiforums.com
Hakika!Elimu bure iende sambamba na uniform bure.
Serikali imebeba wajibu wakuyoa Elimu bure kwa watoto wote wa kitanzania.Wajibu wa wazazi wote ni kuhakikisha kuwa watoto au wanafunzi wanapata sare za shule.huo ni wajibu wa mzazi ambao haukwepeki. Ni jukumu la mzazi kufanya kazi kwa bidii na juhudi kuhakikisha kuwa anatimiza mahaitaji ya mtoto wake.Tapeli Lucas mwashambwa unaitwa huku!
Je, uvivu wa wazaIxni chanzo cha umasikini kwa watoto?
ushauri wangu ni kwamba wema usizidi uwezo....
Kuna sehemu kuna changamotoTaiizo nini, naona picha mbili tofauti?