mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Utawakuta wanaenda kuangalia mradi wa mln 50 wanaenda team ya watu 30 na magari ya thamaniNchi ya hovyo sana hii, Uingereza ambayo inawapa misaada waziri mkuu anatumia saloon car na bado anabanana humo na wasaidizi wake..........lakini bongolala mheshimiwa anatembeza kiwanda barabarani peke yake na dereva.
Ova