Utawakuta wanaenda kuangalia mradi wa mln 50 wanaenda team ya watu 30 na magari ya thamaniNchi ya hovyo sana hii, Uingereza ambayo inawapa misaada waziri mkuu anatumia saloon car na bado anabanana humo na wasaidizi wake..........lakini bongolala mheshimiwa anatembeza kiwanda barabarani peke yake na dereva.
Tatizo ni kutooa tatizo kwenye hizo pichaTaiizo nini, naona picha mbili tofauti?
Sijaliona tatizo ndiyo maana nauliza, tatizo nini?Tatizo ni kutooa tatizo kwenye hizo picha
Ukiwapa wanafunzi uniform za bure wengine wataenda kushare na wazazi waoElimu bure iende sambamba na uniform bure.
Akija unitag🤣🤣🤣🤣💺Tapeli Lucas mwashambwa unaitwa huku!
Kutoona tatizo nalo ni tatizoSijaliona tatizo ndiyo maana nauliza, tatizo nini?
Watawala na watawaliwa dada mkubwa.Taiizo nini, naona picha mbili tofauti?
Sasa ulitaka wote wawe watawala au watawaliwa?Watawala na watawaliwa dada mkubwa.