Picha : Zamaradi akila Bata USA

Picha : Zamaradi akila Bata USA

sasa bata kusimama barabarani ulaya ,nilitarajia kumuona kwenye hoteli kubwa anakula maisha
 
[a ="Ifumange, post: 28733374, member: 394484"]Ingekua kipindi kile angeambiwa kanaenda kubadili damu[/QUOTE]hiyo avatar yako ..ndio moja ya wazazi siku za usoni ... mama analiwa na mwanae
 
Kabisa , zamaradi anajielewa , hata akiongea tu unajua hapa kuna mtu , sio shoga yetu Irene akianza kuongea, hadi utatamani kutapika

Wasichana waache kuwekeza kwenye muonekano wa nje tu , Bali akili pia wawekeze, hakuna mwanaume wa maana atapenda kujihusisha na mapoyoyo , ona akina ntuyabaliwe au jokate
Nakubaliana na wewe beauty without brain ni useless aisee
 
Bata wapiii weweee, au kuna picha zingine tofauti na hizi, halaf hujawai hata safiri wewe kambea? Namaanisha SAFARI
 
“Kuna watu wanazaliwa na bahati, kuna watu hukutana na bahati katika kipindi fulani cha maisha yao, na kuna watu huitafuta bahati”..... Malcom X
Zama mmoja wapo wa hizo Bahati. Alizaliwa mwanamke wa kawaida tu akazaa Na Ruge Sasa hivi ni miongoni mwa wanawake wanaojimudu
 
Zama mmoja wapo wa hizo Bahati. Alizaliwa mwanamke wa kawaida tu akazaa Na Ruge Sasa hivi ni miongoni mwa wanawake wanaojimudu

Huyo amekutana na bahati!! Kama ulivyosema mwanzo omba bahati sio uzuri!!
 
Warumi unatutia hasira.. Wengine hata hapo Kenya hatujafika halafu unatuonyesha huyo yuko Marekan!!!! ...kututia predha tu
 
Back
Top Bottom