Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warumi Ruge na cheusi mangala huwa hawaachani na bado anamfinance! Juzi juzi Ruge alipokuwa hoi si cheusi ndiye aliyekuwa anawajibika hata kumkosha!
Ingekua kipindi kile angeambiwa kanaenda kubadili damuMwenzenu anaenda vacation sio kufanya kazi za kubeba mabox ... And yes anakula bata , uache wivu
hahaa vumilia tu binamu,Wambea we zangu sio kwa vichambo hivi 🤣🤣🤣🤣
Kajitahidi sana zamaradi yuko smartNa Ana maisha mazuri in general au hujui kusoma?
Mwenzenu haendi kubeba box yuko vacation tena hotel bab kubwa
Nakubaliana na wewe beauty without brain ni useless aiseeKabisa , zamaradi anajielewa , hata akiongea tu unajua hapa kuna mtu , sio shoga yetu Irene akianza kuongea, hadi utatamani kutapika
Wasichana waache kuwekeza kwenye muonekano wa nje tu , Bali akili pia wawekeze, hakuna mwanaume wa maana atapenda kujihusisha na mapoyoyo , ona akina ntuyabaliwe au jokate
Lilia bahati usililie uzuri.
Zama mmoja wapo wa hizo Bahati. Alizaliwa mwanamke wa kawaida tu akazaa Na Ruge Sasa hivi ni miongoni mwa wanawake wanaojimudu“Kuna watu wanazaliwa na bahati, kuna watu hukutana na bahati katika kipindi fulani cha maisha yao, na kuna watu huitafuta bahati”..... Malcom X
Zama mmoja wapo wa hizo Bahati. Alizaliwa mwanamke wa kawaida tu akazaa Na Ruge Sasa hivi ni miongoni mwa wanawake wanaojimudu
Zama mmoja wapo wa hizo Bahati. Alizaliwa mwanamke wa kawaida tu akazaa Na Ruge Sasa hivi ni miongoni mwa wanawake wanaojimudu
Khan wewe si umeoa juzi?
Sasa hapo anakula bata?!