Picha: Zari, Vera Sidika wakutana Live baada ya bifu la muda mrefu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini
 
Vera ana umbo no. 9

Miguu kama ya wema...miguu ya shida shida

huwezi kumlinganisha na zari miguu imejaa vizuri kama ya wazungu wengi, miguu ya afya afya

Ila wote wazuri wa sura na shape

Wabillah Tawfiq
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…