Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapanga namna ya kumteka BujibujiMasista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja View attachment 776577baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini
Wanapanga namna ya kumteka Bujibuji
Ni mtamu balaaBujibuji hujatahiriwa wewe.
AISEEWanapanga namna ya kumteka Bujibuji
Umejuaje au aliku....?Bujibuji hujatahiriwa wewe.
Taarifa za kiintelijensia Mzee, penzi kikohozi. Mabinti wanakohoa tu, hadi wanapatana ili waunganishe nguvu kwa ajili ya transport the most sex appeal guy in townUmejuaje au aliku....?
Huyu huyu mwenye tako lililofikia nyuma ya goti mkuu?Tumefurahi kuona East African beauties pamoja ingawa amekosekana Wema Sepetu kutuwakilisha Tanzania.
Tumefurahi kuona East African beauties pamoja ingawa amekosekana Wema Sepetu kutuwakilisha Tanzania.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] what?Bujibuji hujatahiriwa wewe.
Tena nyoko haswaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vera nyoko
Wasichana ninaowapendaga. Girls, girls... where are you, girls?Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja View attachment 776577baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini