TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
vipi kuhusu 'hupatikana' dhidi ya 'upatikana'?Ben Mwalantala,
Sio hadimu. Ni Adimu.
Sio Kiremba ni kilemba
===
Kazi nzuri serikali yetu waafrika Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuhusu 'hupatikana' dhidi ya 'upatikana'?Ben Mwalantala,
Sio hadimu. Ni Adimu.
Sio Kiremba ni kilemba
[@Tanzania Railways Corp,
hizi images zinanikumbusha mbali sana enzi hizo wakati TAZARA inajengwa. ilikuwa na muonekano wa hivi hivi. sijui TAZARA sasa imeishia wapi masikini?
nachomaanisha hapa ni kuwa hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kujenga reli ya SGR kwa kiwango hiki cha sasa. kwa sisi tuliozaliwa before 60s huko tulishuhudia kwa macho yetu.
swali ni je, tumejifunza makosa tuliyoyafanya kwa TAZARA? kwa matumaini tuliyokuwa nayo kwa TAZARA na kile tulichokipata, my verdict is "TAZARA is one big white elephant". should we now brace ourselves up for another (this time TRC's championed) white elephant?
your guess is as good as anyone's!!
Tazara inakufa kwa sababu inaendeshwa na nchi mbili, na hilo lilikuwa kosa toka mwanzo, na nadhani hizi nchi mbili zimejikuta zikiwa na mawazo tofauti kuhusu uendeshaji wa tazara.
Ili tazara ifanikiwe, kwa mawazo yangu, inatakiwa kila nchi ibaki kumanage kipande chake, tukifanya hivyo tunaweza kuwa na bonge la dry port tunduma na wakongo, wazambia wamalawi wkaja kuchukulia mizigo yao hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sababu ya magu kushindwa unayo maana ukiangalia garama za mradi kwa mwekezaji mpya na yule wa JK ni tofauti sanaNiliwahi kusema humu mradi huu Magu akifanikiwa nitahama nchi sasa sijui nifanyaje kwa aibu?,tabia ya kupingapinga kila kitu naiacha kuanzia leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upatikana haipo hio.vipi kuhusu 'hupatikana' dhidi ya 'upatikana'?
===
Kazi nzuri serikali yetu waafrika Watanzania
Niliwahi kusema humu mradi huu Magu akifanikiwa nitahama nchi sasa sijui nifanyaje kwa aibu?,tabia ya kupingapinga kila kitu naiacha kuanzia leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Trc mnaandika "HADIMU" badala ya "Adimu"
tunatatizo kubwa
Sioni kwanini majengo manne yafanane wakati design zipo nyingi mno, pia inaonekana majengo hayo tayari ni madogo kuliko mahitaji au idadi ya watu hata kabla hayajaanza kutumika. Tulipaswa kujifunza usanifu wa stesheni za treni nchi za Ulaya.Kazi nzuri.
Kuna watu watakuja kupinga tu.
[@Tanzania Railways Corp,
hizi images zinanikumbusha mbali sana enzi hizo wakati TAZARA inajengwa. ilikuwa na muonekano wa hivi hivi. sijui TAZARA sasa imeishia wapi masikini?
nachomaanisha hapa ni kuwa hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kujenga reli ya SGR kwa kiwango hiki cha sasa. kwa sisi tuliozaliwa before 60s huko tulishuhudia kwa macho yetu.
swali ni je, tumejifunza makosa tuliyoyafanya kwa TAZARA? kwa matumaini tuliyokuwa nayo kwa TAZARA na kile tulichokipata, my verdict is "TAZARA is one big white elephant". should we now brace ourselves up for another (this time TRC's championed) white elephant?
your guess is as good as anyone's!!
Sio mwalantala,ni mwanantalaBen Mwalantala,
Sio hadimu. Ni Adimu.
Sio Kiremba ni kilemba