Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

Kuna vyama vitajidai navyo kuingia kwenye uchaguzi mkuu, vikimnadi mgombea wao, huku vikijisemasha JPM hajafanya kitu na ni dicteta, ilhali iwapo leo JPM akijivua gamba,akijiunga na hivyo vyama, watampa nafasi ya kugombea urais.
 
Vitu hivi ni haki yetu sababu tunalipa Kodi ,
Sema CCM wanataka kufanyia Kampeni sababu uchaguzi ndiyo uko jirani.
Akuna jambo linalo wapaaga nguvu wana nchi kama pale wanapo jumuishwa kwenye shuguli za maendeleo huongeza hari ya ulipaji kodi!
Kwa mfano unaposikia Kwa hisani ya Watu wa Marekani!
China utasikia nao imetolewa na watu wa jamuhuri ya china!
Kwetu Msaada huu wa maindi kwa Zimbabwe umetolewa na Rais Kinyata!!!
 
Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
hii habari ya upana, urefu, nk siyo news - tunaijua tayari... it's Google material.

issue ni tangibility ya hii project kwa nchi yetu kibiashara na kiuchumi kwa mazingira ya sasa. wengi tunaona huu haukuwa muda muafaka wa ku divert resources nyingi kiasi hiki kwenda kwenye mradi wa majaribio..... i.e putting a cart before the hoarse if you like.

bado nina mashaka.....unfortunately maelezo yenu hayajitoshelezi.
naomba kwenye jibu lako jingine usiongelee tofauti kwenye upana, urefu, etc - ongelea tangible commercial and economic substance tafadhali.
 
Picha hizi zinaonesha Maendeleo ya Ujenzi wa Stesheni za Dar es Salaam, Pugu na Soga. Katika kipande cha kwanza cha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR ambao utakuwa na jumla ya Stesheni Sita ikiwemo Stesheni kuu mbili ambazo ni Dar es Salaam na Morogoro huku Stesheni ndogo (za kati) zikiwa ni Pugu, Soga, Ruvu na Ngerengere. Wastani wa Jumla wa Maendeleo ya Mradi Dar es Salaam - Morogoro ni zaidi ya 73%

View attachment 1363738

Jengo la Stesheni ya Reli ya Kisasa ya Dar es Salaam likiwa limeanza kuwekwa vioo.
Jengo la Stesheni ya Dar es Salaam limejengwa kwa muonekano wa Madini ya Tanzanite ambayo upatikanaji wake ni adimu, madini haya hupatikana Tanzania pekee.

View attachment 1363739View attachment 1363741
Muonekano wa Jengo la Stesheni ya Reli ya Kisasa ya Pugu, ambayo ujenzi wake umefika 80%

View attachment 1363743
Moja kati ya Vituo vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme utakaoendesha treni za Umeme eneo la Mpiji, kikiwa katika hatua za mwisho kuweza kukamilika.
View attachment 1363745View attachment 1363747View attachment 1363749View attachment 1363750View attachment 1363751View attachment 1363752View attachment 1363753
PICHA; Muonekano tofauti wa Stesheni ya Pugu ambayo ujenzi wake umekamilika kwa 90%.
Majengo ya Stesheni za Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere ni ya kufanana yakiwa yamejengwa kiusanifu kuakisi Vazi la Kilemba ambalo ni maarufu kwa wanawake hapa Tanzania.
[emoji122][emoji122][emoji122]Tumpe miaka mingine mitano amalizie na ile ya Dar _Moshi _Arusha Aunganishe nguvu na wa Kenya mpaka Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kingine ambacho wananchi tunahitaji kujua ni kilichoisibu hii ratiba yenu hapa chini....
leo ni February 2020. kunani? walipa kodi tunauliza..

M-mbabe, Tazara inakufa kwa sababu inaendeshwa na nchi mbili, na hilo lilikuwa kosa toka mwanzo, na nadhani hizi nchi mbili zimejikuta zikiwa na mawazo tofauti kuhusu uendeshaji wa tazara.

Ili tazara ifanikiwe, kwa mawazo yangu, inatakiwa kila nchi ibaki kumanage kipande chake, tukifanya hivyo tunaweza kuwa na bonge la dry port tunduma na wakongo, wazambia wamalawi wkaja kuchukulia mizigo yao hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunduma to kapiri mposhi ni pafupi kuliko Dar Tunduma,Zambia watadai pesa nyingi sana ya fidia
Walioingia ubuia huu nadhani hawakuona mbali na walihisi watakaa madarakani hadi mwisho wa dunia
Labda Zambia iamue yenyewe kujitoa,na itakula kwao sana tu
 
Bado sababu ya magu kushindwa unayo maana ukiangalia garama za mradi kwa mwekezaji mpya na yule wa JK ni tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Reli ya Dar - Tanga - Moshi - Arusha nayo ilikufa kabisaaa for 25 years, je ilikuwa inaendeshwa na nchi mbili???
Hii ilikufa kwa sababu ya utawala wa Mkapa na Kikwete kujiingiza kwwnye biashara za malori, miaka ya 90 trc walikuwa wanafanya vizuri sana, lakini baada ya mkapa kuingia akaanza kuiua taratibu na sera zake za ubinafsishaji, kikwete akaendelea kuiua kabisa kwa biashara ya malori, kwa hiyo naweza kusema ni sera mbovu za awamu ya tatu na nne,na sio reli ya moshi tu, hata hiyo ya kati ilikuwa haifanyi kazi vizuri, huyu mwamba ndio amekuja kuifufua, worry yanfu ni awamu ya 6, kama itakuwa kama ya 3 na 4 basii hii investment yote ni bure

Kwa upande wa Tazara, kama tungekuwa runaendesha kipande chetu peke ywtu, kwa huyu JPM naamini ingefufuka na dry port ya ukweli kuwekwa Mbeya au Tunduma, maana tunahudumia kwa kiasi kikubwa Zambia n DRC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom