Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
Tazara ina majengo bora ya kisasa.[@Tanzania Railways Corp,
hizi images zinanikumbusha mbali sana enzi hizo wakati TAZARA inajengwa. ilikuwa na muonekano wa hivi hivi. sijui TAZARA sasa imeishia wapi masikini?
nachomaanisha hapa ni kuwa hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kujenga reli ya SGR kwa kiwango hiki cha sasa. kwa sisi tuliozaliwa before 60s huko tulishuhudia kwa macho yetu.
swali ni je, tumejifunza makosa tuliyoyafanya kwa TAZARA? kwa matumaini tuliyokuwa nayo kwa TAZARA na kile tulichokipata, my verdict is "TAZARA is one big white elephant". should we now brace ourselves up for another (this time TRC's championed) white elephant?
your guess is as good as anyone's!!
Huyu hivo vituo umeviona?
Tazara lengo lake lilikua kuisadia Zambia ilokua imewekewa vikwazo na wareno Msumbiji na SA hivo walikua wanapata shida kusafirisha copper yao na import zao.
Baada ya Uhuru wa nchi jirani Zambia hawakuona umuhimu wa Tazara.
Ndo maana imekwama.
Mabeberu waliliona hili na kumshaauri Nyerere aachane nao. Hakusikia akaenda china.
Na madeni yake mpaka kesho hayalipwa