Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

Duh! Namuhurumia bibi yangu aliyeko upcountry!! Sijui atanufaika vip na national cake wakati mjukuu wake anae mtegemea alimsomesha kwa kuuza ugoro na baada ya masomo hana ajira!


#Few have to die in order the majority to survive*

Hongera serikali ya awamu ya tano kwa kazi nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ikiwa under TLC tumekwisha waataleta uozo wa kule kwenye hili shirika jipya ...tuonamba liendeshwe kibishara lasivyo itakuwa disaster
 
ikiwa under TLC tumekwisha waataleta uozo wa kule kwenye hili shirika jipya ...tuonamba liendeshwe kibishara lasivyo itakuwa disaster
 

Umetoa angalizo muhimu sanaa, na umetimiza wajibu wako. I hope litazingatiwa maana kwa sasa kila mtu yuko bize na ujenzi only.....after ujenzi (running and maintenance) inaonekana ni tutajua mbele kwa mbele
 

Reli ya Dar - Tanga - Moshi - Arusha nayo ilikufa kabisaaa for 25 years, je ilikuwa inaendeshwa na nchi mbili???
 
Sijui kwanini instincts zangu zinaniambia kuna ajali itatokea siku chache tu baada ya operations kuanza 🤔
 
Tunataka kuona Rufiji hydropower imefika wapi, hizi porojo za SGR tumeshazichoka, kumaliza hammalizi, mnatafutia point hapo hapo kila siku bhana..
 
Kazi nzuri.
Kuna watu watakuja kupinga tu.
Sioni kwanini majengo manne yafanane wakati design zipo nyingi mno, pia inaonekana majengo hayo tayari ni madogo kuliko mahitaji au idadi ya watu hata kabla hayajaanza kutumika. Tulipaswa kujifunza usanifu wa stesheni za treni nchi za Ulaya.
 
Mimi sina cha kuchangia. Tukutane 2021 tena mkuu aweze kuendelea na utekelezaji
 

Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
 
Kuna like kipande Cha mlandizi pale wale waturuki wameshindwa Kaz Cha ajabu Zaid ikifika saa kumi wanafunga Kaz na wanafungua Kaz saa Moja asubuh hao jamaa hawakuja kufanya Kaz tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…