Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

Tazara ina majengo bora ya kisasa.
Huyu hivo vituo umeviona?
Tazara lengo lake lilikua kuisadia Zambia ilokua imewekewa vikwazo na wareno Msumbiji na SA hivo walikua wanapata shida kusafirisha copper yao na import zao.
Baada ya Uhuru wa nchi jirani Zambia hawakuona umuhimu wa Tazara.
Ndo maana imekwama.
Mabeberu waliliona hili na kumshaauri Nyerere aachane nao. Hakusikia akaenda china.
Na madeni yake mpaka kesho hayalipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…