[emoji116][emoji116][emoji116]Pata picha ulikuwa unakula ukakakutana na hzo picha
Yaani nimeona picha, hazitishi sana, napiga msosi hapa[emoji15] [emoji15] Syphilis stage 3
Genital warts..huwa si fungal infection.hiyo k huo ugonjwa unaitwa genital wats ni matokeo ya fungus na uti sugu inatibika wahi hosp mapema..... pole
Genital warts..huwa si fungal infection.
It caused by human papilloma viruses
syphilis stage 3
Mungu wangu, nmesisimka mwili mzma, hyo mwanamke ana genital warts alafu mpaka zinafkia hio stage alikua wap kwenda Hospital?
Madaktari wa JF mnatuchanganya wajameni...
Sijui nani hapo anasema ukweli??
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
Unaitwa PANGUSA.Wakuu habari.
Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi.
Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu.
Kwa mwenye ufahamu je huu ni ugonjwa gani? Unaambukizwaje? Na tiba yake ni ipi?
View attachment 472303
View attachment 472304
Inashambulia sehemu ya siri tu au hata kwa mdomoni kwa wale wanaoonja chumvi??
Mbona wore wanasema kitu kimoja au wewe uaelewaje
Ohooooo!!!duuuh! juzi tu nimetoka kusoma hii kitu leo nakutana nayo tena humu ndani [emoji32] , huu ugonjwa ni hatari sana jamani tena ni hatari mno kwa wanaopenda 0713
Naona huu ni ugonjwa wa nyani jike! Kundu jekunduuu! Pole muhathirikaWakuu habari.
Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi.
Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu.
Kwa mwenye ufahamu je huu ni ugonjwa gani? Unaambukizwaje? Na tiba yake ni ipi?
View attachment 472303
View attachment 472304