Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Mgogoro wa mifugo umeleta mapigano ya jamii hizi mbili zenye uhasama wa muda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii migogoro hata huku Bongo ipo sana haswa kwa wakulima na wafugaji, ila kwa sasa naona imepungua.Kenya hakuna serikali kila raia anajiamulia kufanya jambo analolitaka
Khaa jamaa kapigwa mshale wa pua? Hahaha kuna mwingine mjulumbeng ndio umepigwa mshale. Hawa Maasai ni noma.
Wizi wa mifugoMleta maada taarifa yako haijakamilika...! Nataka kujua sababu za kupigana ..! Ni mashamba au Mifugo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni nini? Ni njaa ya Lockdown ama?Hapo Narok kuna sehemu inaitwa Lengetia kuelekea Olokurto, napo mda si mrefu wataliamsha!
Morogoro huko Mvomero kila mwaka huwa tunakuwa na vita ya namna hiyo watu wakigombea ardhi hasa kipindi cha ukame.Hao sio mungiki kweli! Wamezoea kuuna km kuku
Ukabila!Mleta maada taarifa yako haijakamilika...! Nataka kujua sababu za kupigana ..! Ni mashamba au Mifugo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijawahi kufikia level ya hawa jamaa!Morogoro huko Mvomero kila mwaka huwa tunakuwa na vita ya namna hiyo watu wakigombea ardhi hasa kipindi cha ukame.
Hebu Tz tuwe na akiba ya maneno juu ya hili, huo ushabiki mandazi baki nao hapo Lumumba.
Hii migogoro hata huku bongo ipo sana haswa kwa wakulima na wafugaji. ila kwa sasa naona imepungua.
Halafu wana shabaha mmoja umepenya kwa helmet ukaingia paji la uso!Dah hao wamempiga bodaboda mishale ya kutosha wakati hata hakuwepo kwenye hiyo vita yao
Haijawahi kufikia level ya hawa jamaa!
Dah hao mafala wamempiga bodaboda mishale ya kutosha wakati hata hakuwepo kwenye hiyo vita yao