Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Halafu wana shabaha mmoja umepenya kwa helmet ukaingia paji la uso!
Mbona hatoki damu sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wana shabaha mmoja umepenya kwa helmet ukaingia paji la uso!
Njaa ya lockdown!Mleta maada taarifa yako haijakamilika...! Nataka kujua sababu za kupigana ..! Ni mashamba au Mifugo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza pia lazima hiyo mishale ina sumu sijui kwanini huyo jamaa aliyepigwa mshale wa usoni hakimbizwi hospital.Hivi UK upigwa mshale damu hazitoki?
Umeona huyo bodaboda hana tone la damu. Bado huyo mwenye mshale puani, hana damu pia
Yaani sio njaa ya lockdown, hapo Narok, hakuna mwenye haki ya kuishi, au kufanya shughuli yoyote kama sio maasai,wana chuki sana kwa makabila mengine hasa Kikuyu.ukienda shukeni, utakuta hata walimu wanakaa kulingana na kabila lao ndani ya staff! Hawa watu waone humu, ni nyoko sana, asikwambie mtu aise!Aisee ni nini? Ni njaa ya Lockdown ama?
Kitaalam hiyo tunaita kung'ata na kupuliza.Ndo umeandika nini kamanda[emoji16]
Si ndo hawa huleta ng'ombe zao Loliondo, tukapiga mnada! Sasa hufuata nini Tanzania?Yaani sio njaa ya lockdown, hapo Narok,hakuna mwenye haki ya kuishi,au kufanya shughuli yoyote kama sio maasai,wana chuki sana kwa makabila mengine hasa Kikuyu.ukienda shukeni,utakuta hata walimu wanakaa kulingana na kabila lao ndani ya staff!hawa watu waone humu,ni nyoko sana,asikwambie mtu aise!
Inashangaza pia lazima hiyo mishale ina sumu sijui kwanini huyo jamaa aliyepigwa mshale wa usoni hakimbizwi hospital.
Unapaswa kujua tofauti ya Moro na Kenya ni kwamba,Kenya hili tatizo mostly is triggered by tribalism,in TZ ,ni ukaidi tu wa wafugaji,so,ni rahisi kutatua TZ kuliko Kenya.Morogoro huko Mvomero kila mwaka huwa tunakuwa na vita ya namna hiyo watu wakigombea ardhi hasa kipindi cha ukame.
Hebu Tz tuwe na akiba ya maneno juu ya hili, huo ushabiki mandazi baki nao hapo Lumumba.
Uko sahihi, hawa jamaa ni shida kwa ukabila. Kuna sehemu nilifanya nao kazi Mkikuyu alikuwa hawezi kukaa na Mjaluo. Mjaluo au Kikuyu alikuwa anaona ni bora kuwa na urafiki na Mtanzania kuliko kuwa na utafiki na Mkikuyu/Mjaluo.Yaani sio njaa ya lockdown, hapo Narok,hakuna mwenye haki ya kuishi,au kufanya shughuli yoyote kama sio maasai,wana chuki sana kwa makabila mengine hasa Kikuyu.ukienda shukeni,utakuta hata walimu wanakaa kulingana na kabila lao ndani ya staff!hawa watu waone humu,ni nyoko sana,asikwambie mtu aise!
Bora mshale zingekuwa risasi wafu wangeongezeka, ila huyo bodaboda hawajamfanyia poa.Hao wanaotumia mishale ni hatari sana!
Mbona hatoki damu sasa?
Vita ni vita iwe ya ardhi, ukabila, mifugo ni vita.Unapaswa kujua tofauti ya Moro na Kenya ni kwamba,Kenya hili tatizo mostly is triggered by tribalism,in TZ ,ni ukaidi tu wa wafugaji,so,ni rahisi kutatua TZ kuliko Kenya.
Halafu ni ina sumu si umeskia yule askari anasema atapita kila nyumba kuwanyang'anya!Hapo mpaka mshale uchomolewe ndio damu itatoka. Na mshale mara nyingi ni kuutolea hospitali maana ukiuvuta unaweza kukata mishipa maana mbele ule mchongoko upo kwa kuingia kwenye nyama sio kutoka. Mpaka oparesheni ndio wanatoa. Na kama ina sumu ndio balaa zaidi maana nyama/mwili unaoza.
Halafu ni ina sumu s umeskia yule asari anasema atapita kila nyumba kuwanyang'anya!