Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Nina swali moja tu nani anaweza kunijibu? Mbona watanzania mnaogopa mungiki?
 
Yaani sio njaa ya lockdown, hapo Narok,hakuna mwenye haki ya kuishi,au kufanya shughuli yoyote kama sio maasai,wana chuki sana kwa makabila mengine hasa Kikuyu.ukienda shukeni,utakuta hata walimu wanakaa kulingana na kabila lao ndani ya staff!hawa watu waone humu,ni nyoko sana,asikwambie mtu aise!
Kwani wewe umeishi Narok?
 
Kuna ile jamii ya wakenya inayopakana na Uganda ambayo watu wanachunga na AK 47 begani ndo inafaa kutibuana na hao wamasai.

Wamasai wafugaji ni washenzi na siyo Kenya tu.
Hao ni wapokot na waturkana. Hizo kabila mbili hata saa zingine huwa zinauwa polisi inabidi watumiwe jeshi la ardhini na angani ili wapimane nguvu. Hao ni wanaume kamili
 
Haaaa!!! Maninerrr [emoji3][emoji3][emoji3] kuna mtu kalambwa mshale wa mkuyenge hapo [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Vita hivi ni kati ya wafugaji wamaasai na jamii ya kikalenjin, wakipsigis, ambao shughuli yao kuu huwa ni kulima. Kisa wizi wa ng'ombe, sio siasa wala ukabila ni jambo la kukemewa sio kukuzwa. Vurugu kama hizi zinazoletwa na wafugaji ni jambo la kawaida hapa Afrika, sio Kenya tu. Ila wakipsigis nao na mishale yao ni watu hatari mno.

Natumai wazee wa jamii hawataingoja serikali itulize vurugu hizi bila kuchukua hatua zao za kurudisha amani. Maanake jamii zote mbili zina utamaduni wa vijana ambao huwa wakitoka jandoni na kuitwa morani huwa wanajiona madume kweli. Tapala iyie doi olchore noo Narok, amuu Enkaiyai ene olsupati.
Unakoroga kikuyu, kimaasai, kiswahili sanifu na kingereza. Boss wewe ni bingwa.
 
Yaani sio njaa ya lockdown, hapo Narok,hakuna mwenye haki ya kuishi,au kufanya shughuli yoyote kama sio maasai,wana chuki sana kwa makabila mengine hasa Kikuyu.ukienda shukeni,utakuta hata walimu wanakaa kulingana na kabila lao ndani ya staff!hawa watu waone humu,ni nyoko sana,asikwambie mtu aise!
Dah! "Mungu ibariki Tanzania"
 
Jamaa hawana ethics ya Undugu na Umoja.

Yaani ni ukabila na roho mbaya zimewajaa
 
Yaani sio njaa ya lockdown, hapo Narok, hakuna mwenye haki ya kuishi, au kufanya shughuli yoyote kama sio maasai,wana chuki sana kwa makabila mengine hasa Kikuyu.ukienda shukeni, utakuta hata walimu wanakaa kulingana na kabila lao ndani ya staff! Hawa watu waone humu, ni nyoko sana, asikwambie mtu aise!
Tutajie hzo shule
 
Hao ni wapokot na waturkana. Hizo kabila mbili hata saa zingine huwa zinauwa polisi inabidi watumiwe jeshi la ardhini na angani ili wapimane nguvu. Hao ni wanaume kamili

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh wakenya Safari yenu ni ndefu sana kama hadi leo hii mnahangaika na Ukabila ?? Ahsantee Mungu kwa kutupatia Nyerere aliyetuunganisha watz kwa lugha yetu kiswahili na kutuondolea ukabila.!
 
HEH! naona mabalaa Kenya yaongezeka tu.

Tanzania, Uganda, Somali, Ethiopia, na sasa Civil war!
 
Hao ni wapokot na waturkana. Hizo kabila mbili hata saa zingine huwa zinauwa polisi inabidi watumiwe jeshi la ardhini na angani ili wapimane nguvu. Hao ni wanaume kamili
yaani unasifia wapuuzi kuharibu amani ya nchi!!!!

makundi ya kikabila kupata access ya silaha za moto ni jambo baya sana,kama wana msuli wakatafute alshabaab huko.
 
Vita hivi ni kati ya wafugaji wamaasai na jamii ya kikalenjin, wakipsigis, ambao shughuli yao kuu huwa ni kulima. Kisa wizi wa ng'ombe, sio siasa wala ukabila ni jambo la kukemewa sio kukuzwa. Vurugu kama hizi zinazoletwa na wafugaji ni jambo la kawaida hapa Afrika, sio Kenya tu. Ila wakipsigis nao na mishale yao ni watu hatari mno.

Natumai wazee wa jamii hawataingoja serikali itulize vurugu hizi bila kuchukua hatua zao za kurudisha amani. Maanake jamii zote mbili zina utamaduni wa vijana ambao huwa wakitoka jandoni na kuitwa morani huwa wanajiona madume kweli. Tapala iyie doi olchore lai noo Narok, amuu Enkai ninye kerii olsupati.
Asha oleng'

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom