Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Inakaa kama wale jamaa wa Jubilee-Ruto wako behind hii maneno! Ikumbukwe Senator Ledama (ODM) aliyekuwa anarandana nao mpaka kupelekea kampeni ya kuondolewa ODM na alitoa vitisho!

Ilianza hapa

Then akajibiwa hivi

Kabla ya ODM kumtimua hivi

Sasa ni hivi

Now​
 
Hapo Narok kuna sehemu inaitwa Lengetia kuelekea Olokurto, napo mda si mrefu wataliamsha!
 
Hapo Narok kuna sehemu inaitwa Lengetia kuelekea Olokurto,napo mda si mrefu wataliamsha!
 
Dah hao wamempiga bodaboda mishale ya kutosha wakati hata hakuwepo kwenye hiyo vita yao.
 
Quoting JPM, "Sisi tufanye kazi, tuchape kazi hao wa Lockdown mwaka kesho watahitaji chakula na tutawauzia".

MY TAKE

Inabidi niongeze na hao wa kuchapana mishale wasiojua hospitali zipo overstretched na wagonjwa wa Corona watahitaji chakula maana machafuko haya hayana muda wa kulima!
 
We need Peace.
We love Amani.

Machafuko yasiyo na msingi haina maana katika jamii,wahusika waangalie matatizo kama haya yasitokee katika jamii ihali wao wapo.
 
Dah hao mafala wamempiga bodaboda mishale ya kutosha wakati hata hakuwepo kwenye hiyo vita yao

Hivi ukipigwa mshale damu hazitoki?
Umeona huyo bodaboda hana tone la damu. Bado huyo mwenye mshale puani, hana damu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…