Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Nina swali moja tu nani anaweza kunijibu? Mbona watanzania mnaogopa mungiki?
 
Kwani wewe umeishi Narok?
 
Kuna ile jamii ya wakenya inayopakana na Uganda ambayo watu wanachunga na AK 47 begani ndo inafaa kutibuana na hao wamasai.

Wamasai wafugaji ni washenzi na siyo Kenya tu.
Hao ni wapokot na waturkana. Hizo kabila mbili hata saa zingine huwa zinauwa polisi inabidi watumiwe jeshi la ardhini na angani ili wapimane nguvu. Hao ni wanaume kamili
 
Haaaa!!! Maninerrr [emoji3][emoji3][emoji3] kuna mtu kalambwa mshale wa mkuyenge hapo [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Unakoroga kikuyu, kimaasai, kiswahili sanifu na kingereza. Boss wewe ni bingwa.
 
Dah! "Mungu ibariki Tanzania"
 
Jamaa hawana ethics ya Undugu na Umoja.

Yaani ni ukabila na roho mbaya zimewajaa
 
Tutajie hzo shule
 
Hao ni wapokot na waturkana. Hizo kabila mbili hata saa zingine huwa zinauwa polisi inabidi watumiwe jeshi la ardhini na angani ili wapimane nguvu. Hao ni wanaume kamili

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh wakenya Safari yenu ni ndefu sana kama hadi leo hii mnahangaika na Ukabila ?? Ahsantee Mungu kwa kutupatia Nyerere aliyetuunganisha watz kwa lugha yetu kiswahili na kutuondolea ukabila.!
 
HEH! naona mabalaa Kenya yaongezeka tu.

Tanzania, Uganda, Somali, Ethiopia, na sasa Civil war!
 
Hao ni wapokot na waturkana. Hizo kabila mbili hata saa zingine huwa zinauwa polisi inabidi watumiwe jeshi la ardhini na angani ili wapimane nguvu. Hao ni wanaume kamili
yaani unasifia wapuuzi kuharibu amani ya nchi!!!!

makundi ya kikabila kupata access ya silaha za moto ni jambo baya sana,kama wana msuli wakatafute alshabaab huko.
 
Asha oleng'

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…