Picture remake(Wakati huo na sasa)

View attachment 1804611
Huyu askari alimuokoa huyu mtoto wala 1998 kwenye moto,watu walidhani alishakufa kabisa. Mwaka 2016 alimshuhudia akigraduate
Hawa ndo askari ambao hata akifa Mungu anampokea maana wanafanya kazi ya kulinda raia na mali zao pia kuokoa inapotokea shida kama hivi,
Lakn hawa wa kwetu kule nchi jirani wao kazi yao ni kulinda ccm na kuzuia Chadema pia wana magari mengi ya washawasha ila hakuna magari ya kuzima moto
 

Tujiulize kwanini tupo hapa bado wenzetu wanatuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…