Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndo askari ambao hata akifa Mungu anampokea maana wanafanya kazi ya kulinda raia na mali zao pia kuokoa inapotokea shida kama hivi,View attachment 1804611
Huyu askari alimuokoa huyu mtoto wala 1998 kwenye moto,watu walidhani alishakufa kabisa. Mwaka 2016 alimshuhudia akigraduate
Ila huyo jamaa kulia simtamani bolo young huyo alikua anapiga ngumi kama katumwa 😂😂😂Van Damme anatafuta chimbo la kutokea jamaa anampelekea moto tu .