Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Karibu tena mkuuNimetelekeza huu uzi
Nisameheni majukumu yalibana kiasi wacha niufufue kidogo kabla sijaenda porini tena
Hao jamaa walipanga miji kabla wananchi hawajajenga..bongo wanachi wanajenga kisha serikali ndio inakuja kupima makazi..afrika hasa bongo ni upuuzi sana.
hapa kilichobadilika ni barabara ,very good conservation
Aise muda unakwenda sanaView attachment 1805922
Seoul, Korea