Picture remake(Wakati huo na sasa)

Picture remake(Wakati huo na sasa)

Screenshot_2022-02-16-20-24-18-1.png

2005 Kevin Berthia alienda kwenye Daraja la Golden Gate kukatisha maisha yake. Alimkuta Afisa Kevin lindo, Aliishia kuongea nae kuhusu maisha yake. Miaka 10 baadaye wamekutana kwenye daraja lile lile katika hali nzuri.
 
Manhattan, 1931 to 2018.

View attachment 2235289
Hao jamaa walipanga miji kabla wananchi hawajajenga..bongo wanachi wanajenga kisha serikali ndio inakuja kupima makazi..afrika hasa bongo ni upuuzi sana.

Image 1931 wamepanga miji yao hivyo eti leo 2022 wabongo hata kupima ardhi ya nchi nzima hawajaweza kufanya hivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
The world's oldest undeground station, Baker Street, England. 157 years apart.
FT3IF5-WYAc18uL.jpeg
 
Back
Top Bottom