Nje ya Mada:
Umenikumbusha habari Fulani ya huyu mzee aliyekua anakufa(Akiwa na miaka 87) last wish yake ilikua kunywa via na wanae kabla hajachomolewa mashine. Na waliitekeleza. Wakapiga na picha akapumzika na smile kubwa sana
View attachment 1805188
Hakuna kusudio kubwa tuliloletwa duniani kwayo, zaidi ya kuacha vizazi vyako vikiishi kwa furaha na upendo. Uache kumbukumbu. Wabongo wengi hatuweki rekodi sahihi ya kumbukumbu zetu
Au kuna picha kama hizi pia ukiziangalia kiundani huwa zina ujumbe mkubwa sana(Mie ni mpenzi wa picha sana)
View attachment 1805191
Nikipata muda ntaanzishia Uzi wake na zenyewe. Hapo ni picha ya vizazi vinne kutoka kitukuu[emoji7][emoji7]