Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Licha ya kutunza wako mbali sanaUmegundua kwamba nchi za ulaya wanatunza sana Architecture yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Licha ya kutunza wako mbali sanaUmegundua kwamba nchi za ulaya wanatunza sana Architecture yao
Nimeshangaa Oxford 1800 na sasa ni vile vile,hivi ulaya kuna vijiji kweli?Yeah ni kweli ukiangalia picha za 1800 huko wakati sie tunatembea vitumbo wazi na kengele zinaning'inia wao walikua wako mbali sana pia
Nje ya Mada:
Umenikumbusha habari Fulani ya huyu mzee aliyekua anakufa(Akiwa na miaka 87) last wish yake ilikua kunywa via na wanae kabla hajachomolewa mashine. Na waliitekeleza. Wakapiga na picha akapumzika na smile kubwa sanaView attachment 1805188
Hakuna kusudio kubwa tuliloletwa duniani kwayo, zaidi ya kuacha vizazi vyako vikiishi kwa furaha na upendo. Uache kumbukumbu. Wabongo wengi hatuweki rekodi sahihi ya kumbukumbu zetu
Au kuna picha kama hizi pia ukiziangalia kiundani huwa zina ujumbe mkubwa sana(Mie ni mpenzi wa picha sana)
View attachment 1805191
Nikipata muda ntaanzishia Uzi wake na zenyewe. Hapo ni picha ya vizazi vinne kutoka kitukuu[emoji7][emoji7]
Pia ni tarehe ile ileView attachment 1804610
Babu na mpenzi wake pikipiki ile ile,sehemu ile ile mwaka 1967 na mwaka 2018