Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.

Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na vichekesho anasumbuliwa na ugonjwa gani ingawa wodi aliyolazwa ni ya wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, magonjwa yanayohusu moyo na kifua kiujumla. Muda mwingi msanii huyo ameonekana akiwa amelala.
 
Uzi wake wa Wapenda Pombe uwekewe lamination..na upelekwe Muhimbili Kama cheti Cha Shukrani kwa Walevi wenzake..
 
Back
Top Bottom