Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.

Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na vichekesho anasumbuliwa na ugonjwa gani ingawa wodi aliyolazwa ni ya wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, magonjwa yanayohusu moyo na kifua kiujumla. Muda mwingi msanii huyo ameonekana akiwa amelala.

Maini kwisha habari yake alifikiri pombe kali ni chai?
 
Mbona mmekazania ni pombe? Hawezi umwa kitu kingine tofauti kabisa?[emoji848]
Wabongo kwa kuhukumu, hatujambo!

Watu wanavyo tiririka, unaweza kudhani labda huyo Pierre wa watu anaumwa maradhi yaliyo sababishwa na unywaji pombe kupita kiasi! Kumbe wanapiga tu ramli.
 
Dr. .

Asante kwa taarifa kilekimo na unywaji ule halali mfumo uzidiwe

Kitaalam uzito uendane na kimo

Na unywaji hivohivo

Mungu amsaidie apone
 
Back
Top Bottom