Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.

Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na vichekesho anasumbuliwa na ugonjwa gani ingawa wodi aliyolazwa ni ya wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, magonjwa yanayohusu moyo na kifua kiujumla. Muda mwingi msanii huyo ameonekana akiwa amelala.
MIllard naniii waende manake sio ndio waliokuwa wanamchukulia content kwake kila siku utadhani jamaa alikuwa na share
 
Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.

Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na vichekesho anasumbuliwa na ugonjwa gani ingawa wodi aliyolazwa ni ya wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, magonjwa yanayohusu moyo na kifua kiujumla. Muda mwingi msanii huyo ameonekana akiwa amelala.

Mzee huyu jamaa hajapona na bado yupo hospitali?
 
Ccm hawajaenda kumuona mhamasishaji wao wa sensa?
 
Back
Top Bottom